lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Hizo picha hazina tofauti na sanamu ya Saddam Hussein...
Acheni Tu watu wafurahie Kifo cha mshuwa
Niko GamboshiHapo Ufipa hamjambo?!
Kwani hayo mambango yana kazi gani?
Mbona Yalitakiwa kuondolewa mara tuu baada ya uchaguzi kwisha?
pasakaMods mna kazi, maana kila mwenye takataka yake anakuja kuitupa huku
Hapo Ufipa hamjambo?!
Ama kwa hakika tenda wema uende zako usingoje shukrani!
Mods mna kazi, maana kila mwenye takataka yake anakuja kuitupa huku
Hawa jifunzi Hawa.Funzo kubwa Hilo kwa walobakia
Kuna watu waliwekwa ndani mwaka Jana eti wameyagusa mabango ya 'mungu'.Kweli kufa kufaana! Haya mabango yalitarajiwa kudumu mpaka 2025! Na hakuna ambaye alijaribu hata kuyagusa tu na mkono! Ila leo yanatolewa kwa kutupwa tu chini!
hayaheshimiki wala kuogopwa tena!
Mimi nimeyaokota na kupigilia kama silingibodi chumbani kwangu, nikilala chali ninayasoma.leo ndio mnasema hivi siyo ?
Nilikuwa siyapendi kabisa mimiKweli kufa kufaana! Haya mabango yalitarajiwa kudumu mpaka 2025! Na hakuna ambaye alijaribu hata kuyagusa tu na mkono! Ila leo yanatolewa kwa kutupwa tu chini!
hayaheshimiki wala kuogopwa tena!
pole kijana .Mods mna kazi, maana kila mwenye takataka yake anakuja kuitupa huku
Nani angelithubutu kuyatoa mwenyewe angalipo?Kwani hayo mambango yana kazi gani?
Mbona Yalitakiwa kuondolewa mara tuu baada ya uchaguzi kwisha?
Msalimie mtemi Chenge!Niko Gamboshi
View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435