Wewe utakuwa ni mpumbavu na mbumbumbu wa mwisho.
Unajua ulichoandika kweli? Hicho ulichoweka ni highest GDP predictions au Lowest [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania haijawahi na haitakuja kuwahi kukosa kwenye top 10 ya Uchumi Afrika.
Nyie machadomo ,mambo ya uchumi Yako Nje ya uwezo wenu,nyie ni wabobezi kwenye kesi,kutukana,kuponda Kila kitu na siasa za matukio ila uchumi achia ccm na act Wazalendo
Aibu kubwa sana. Yaani GDP ya Tanzania ni karibu nusu ya ile ya Kenya. Bado tuna safari ndefu.
Ivory Coast walikuwa katika vita kwa muda mrefu, lakini wapo juu yetu!
Top 10 Richest African Countries by Overall GDP (current US$ - World Bank)*:
Nigeria — $440,834 million
South Africa — $419,015 million
Egypt — $404,143 million
Algeria — 163,044 million
Morocco — $142,866 million
Ethiopia — $111,271 million
Kenya — $110,347 million
Ghana — $77,594 million
Ivory Coast — $70,043 million
Tanzania — $67,404 million
Lakini ukija kwenye GDP per capita, ambacho ndiyo kipimo kizuri cha maendeleo, Tanzania haimo hata kwenye top 20 ya nchi ambazo zina kipato kizuri.
The top 10 richest African countries are:
Seychelles – $14,540.
Mauritius – $9,920.
Libya – $8,700.
South Africa – $6,530.
Gabon – $6,440.
Botswana – $6,430.
Equatorial Guinea – $5,150.
Namibia – $4,650
. Algeria - $3,700
. Eswatin - $3,600
NB: GDP per capita ya Tanzania ni $1,100