Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Ule msemo unaosema kibaya chajiuza mumewahi kuusikia?Ni kichaa peke yake anayeweza kuamini kwamba tunaye Rais mchapa kazi na mwenye Nia ya dhati kwa Taifa. Hatuwezi kuwa kwenye 10 Bora ili Hali RUSHWA imetaradadi
Sentensi kama hiyo huwa zinatolewa na watu ambao kichwani hamna kitu, maana haihitaji akili yoyote kuandika sentensi kama hiyo.Mama Samia juu zaidi.
Nguvu inayotumika kumsifia ni kubwa kuliko uhalisia wenyewe
Mkuu wala usipate shida.Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off.
This is according to the International Monetary Fundโs World Economic Output report for October.
The IMF's basic case assumes that inflation keeps declining.
GDP projections play an important role in defining the economic strategies and policies of governments throughout the world.
These projections are particularly essential for African countries since they provide insight into the continent's overall development trajectory, growth potential, and economic health.
As Africa navigates its economic terrain, leveraging insights from GDP estimates will be critical in crafting a sustainable and inclusive future.
Kampala Capital City of Uganda
Markets Kampala for Ugandans reportedly has the most expensive housing in the world Top 10 African governments with the highest general revenues.
Markets Top 10 African governments with the highest general revenues
the-russia-africa-summit-and-black-sea-grain-31-07-2023-18-05-09
Markets Russia commences free grain deliveries to Africa.
The International Monetary Fund detailed each country's real GDP (annual percentage change) in its World Economic Output (WEO) report for October.
As long as central banks maintain their restrictive stance, inflation will continue to decline under the IMF's baseline scenario. The worldwide real GDP per capita loss that often happens during a global recession is not included in the baseline scenario.
See also: Top 10 African countries with the highest GDP projection for 2023 as the year rounds off.
The first half of 2023 saw more robust growth and employment than anticipated by the WEO in April.
Although the global average prediction has mostly not changed from the July 2023 WEO Update, different countries have different growth and inflation projections.
Having said that, the top 10 African nations with the highest GDP predictions for 2023 are shown below as the year draws to a close.
Rank Country GDP projection
1. Equatorial Guinea -6.2%
2. Sรฃo Tomรฉ and Prรญncipe 0.5%
3. South Africa 0.9%
4. Central African Republic 1.0%
5. Ghana 1.2%
6. Tunisia 1.3%
7. Angola 1.3%
8. Malawi 1.7%
9. Lesotho 2.1%
10. Morocco 2.4%
Aisee serikalini ni kinamama vilaza watupu wamejaa kazi kujipodoa tu ndo maana hii nchi ni maskini aisee sijui wanaingizwaje kwenye kazi. Leo hii ifanyike hesabu utashangaa staff wanawake 70% na wanaume 30% tu ambao wengi ni mabosi na ndio maana ni ngumu kujua kama kinamama wamejazana na wakistaafu wanapewa tena mikataba , vibibi vimejaa makazini! Na wengi wao ni wagalatia wenye DNA za wizi!!Sema tu basi, lakini yaliyotokea Liberia, yanapaswa kutokea hapa kwetu pia....
Mijitu iko kwenye ofisi za Umma, lakini inawaza kuiba tu badala ya kuutumikia Umma!
Mtu mdini hupoteza uwezo wa kutumia kichwa chake vizuri kufanya uchambuzi wa mambo ya kijamiiNini maana ya "predictions"?
Wewe utakuwa ni mpumbavu na mbumbumbu wa mwisho.Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off.
This is according to the International Monetary Fundโs World Economic Output report for October.
The IMF's basic case assumes that inflation keeps declining.
GDP projections play an important role in defining the economic strategies and policies of governments throughout the world.
These projections are particularly essential for African countries since they provide insight into the continent's overall development trajectory, growth potential, and economic health.
As Africa navigates its economic terrain, leveraging insights from GDP estimates will be critical in crafting a sustainable and inclusive future.
Kampala Capital City of Uganda
Markets Kampala for Ugandans reportedly has the most expensive housing in the world Top 10 African governments with the highest general revenues.
Markets Top 10 African governments with the highest general revenues
the-russia-africa-summit-and-black-sea-grain-31-07-2023-18-05-09
Markets Russia commences free grain deliveries to Africa.
The International Monetary Fund detailed each country's real GDP (annual percentage change) in its World Economic Output (WEO) report for October.
As long as central banks maintain their restrictive stance, inflation will continue to decline under the IMF's baseline scenario. The worldwide real GDP per capita loss that often happens during a global recession is not included in the baseline scenario.
See also: Top 10 African countries with the highest GDP projection for 2023 as the year rounds off.
The first half of 2023 saw more robust growth and employment than anticipated by the WEO in April.
Although the global average prediction has mostly not changed from the July 2023 WEO Update, different countries have different growth and inflation projections.
Having said that, the top 10 African nations with the highest GDP predictions for 2023 are shown below as the year draws to a close.
Rank Country GDP projection
1. Equatorial Guinea -6.2%
2. Sรฃo Tomรฉ and Prรญncipe 0.5%
3. South Africa 0.9%
4. Central African Republic 1.0%
5. Ghana 1.2%
6. Tunisia 1.3%
7. Angola 1.3%
8. Malawi 1.7%
9. Lesotho 2.1%
10. Morocco 2.4%
Aibu kubwa sana. Yaani GDP ya Tanzania ni karibu nusu ya ile ya Kenya. Bado tuna safari ndefu.Wewe utakuwa ni mpumbavu na mbumbumbu wa mwisho.
Unajua ulichoandika kweli? Hicho ulichoweka ni highest GDP predictions au Lowest [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania haijawahi na haitakuja kuwahi kukosa kwenye top 10 ya Uchumi Afrika.
Nyie machadomo ,mambo ya uchumi Yako Nje ya uwezo wenu,nyie ni wabobezi kwenye kesi,kutukana,kuponda Kila kitu na siasa za matukio ila uchumi achia ccm na act Wazalendo
CCM ina watu wajinga snJina la Rais SSH linasifiwa na kila chawa! Picha yake inahusishwa na kila tukio jema au mradi awepo asiwepo!
Kwenye madudu, upigaji na maovu inatajwa serikali na siyo SSH!
Kifupi ni Homo idiotism
Si kila mtu aweza kuwa kwenye mavyama yenu hayo!Wewe utakuwa ni mpumbavu na mbumbumbu wa mwisho.
Unajua ulichoandika kweli? Hicho ulichoweka ni highest GDP predictions au Lowest ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Tanzania haijawahi na haitakuja kuwahi kukosa kwenye top 10 ya Uchumi Afrika.
Nyie machadomo ,mambo ya uchumi Yako Nje ya uwezo wenu,nyie ni wabobezi kwenye kesi,kutukana,kuponda Kila kitu na siasa za matukio ila uchumi achia ccm na act Wazalendo
Hata kama hauko kwenye mavyama,haiondoi ukweli kwamba wewe ni mpumbavu na mbumbumbu.Si kila mtu aweza kuwa kwenye mavyama yenu hayo!
Unachopaswa kufanya, ni upinge kwa data na siyo maneno yako haya
Na usipende saana kutetea hoja zako kwa matusi, tetea kwa data
Dogo, siyo kila siku inaweza kuwa jana, huwa si kila ukaamka na kwenda kazini na ukarudi salama!Hata kama hauko kwenye mavyama,haiondoi ukweli kwamba wewe ni mpumbavu na mbumbumbu.
Unakijua ulichoandika?
Vilemba vya ukokaMama Samia juu zaidi.
Ina maana tumefikia hiyo hatua!!!Noma Sana
Ni Mwendo wa kukopa
Salary zinasoma kwa mafungu
Noma Sana!
Hizo ASILIMIA zisikudanganye sana. Usipojuwa ku interpret unaweza ukajiona au ni mjinga sana au ni maskini sana. Hiyo metric ya growth rate inapima ongezeko la uchumi kutoka 2022 kwenda 2023/24 kwa nchi moja moja.Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off.
This is according to the International Monetary Fundโs World Economic Output report for October.
The IMF's basic case assumes that inflation keeps declining.
GDP projections play an important role in defining the economic strategies and policies of governments throughout the world.
These projections are particularly essential for African countries since they provide insight into the continent's overall development trajectory, growth potential, and economic health.
As Africa navigates its economic terrain, leveraging insights from GDP estimates will be critical in crafting a sustainable and inclusive future.
Kampala Capital City of Uganda
Markets Kampala for Ugandans reportedly has the most expensive housing in the world Top 10 African governments with the highest general revenues.
Markets Top 10 African governments with the highest general revenues
the-russia-africa-summit-and-black-sea-grain-31-07-2023-18-05-09
Markets Russia commences free grain deliveries to Africa.
The International Monetary Fund detailed each country's real GDP (annual percentage change) in its World Economic Output (WEO) report for October.
As long as central banks maintain their restrictive stance, inflation will continue to decline under the IMF's baseline scenario. The worldwide real GDP per capita loss that often happens during a global recession is not included in the baseline scenario.
See also: Top 10 African countries with the highest GDP projection for 2023 as the year rounds off.
The first half of 2023 saw more robust growth and employment than anticipated by the WEO in April.
Although the global average prediction has mostly not changed from the July 2023 WEO Update, different countries have different growth and inflation projections.
Having said that, the top 10 African nations with the highest GDP predictions for 2023 are shown below as the year draws to a close.
Rank Country GDP projection
1. Equatorial Guinea -6.2%
2. Sรฃo Tomรฉ and Prรญncipe 0.5%
3. South Africa 0.9%
4. Central African Republic 1.0%
5. Ghana 1.2%
6. Tunisia 1.3%
7. Angola 1.3%
8. Malawi 1.7%
9. Lesotho 2.1%
10. Morocco 2.4%
Wewe una bahati umekuja kushibia Tanganyika, ungeendelea kukaa kwenu urojo usingekuacha salama na ndiyo maana wengi mnapakimbia. Samia alisoma shule zipi za mamillion? Issue ni kwamba kama kiongozi mpeni sifa zinazomstahili, hii ya kutia chumvi kwa uchawa wenu wakati uchumi unadolora mnaliumiza taifa. Anaweza kuwa anawajaza matumbo yenu ndiyo, lakini fikirieni umma wa waliowengi. Chumeni dhambi lakini kuna siku ya adhabu mbele yenu.Wapo pia wachawi wanaoishi kwa kuponda watu.
Mama zao walishindwa kuwapeleka shule za million kwa mwaka.
Kusema "baba" zao itakuwa ni uongo. Maana wachawi wengi hawawajuwi "baba" zao.