P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Dec 11, 2023 #61 Hapo ndio unatakiwa uzidi kuishangaa CCM kwa gilba zake!
J John Wickzer Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 6,656 Reaction score 14,403 Dec 11, 2023 #62 Muhumba wa Mukinyaa said: Yaani utasema tupo kwenye kipindi cha KAMPENI za Uchaguzi..asubuhi mama,mchana mama ,usiku mama..UJINGA kabisa Click to expand... Hao ni Mabarakala (bootlickers) wanaojikomba kwa ajili ya kutarajia kupata uteuzi wa vyeo vya kisiasa.
Muhumba wa Mukinyaa said: Yaani utasema tupo kwenye kipindi cha KAMPENI za Uchaguzi..asubuhi mama,mchana mama ,usiku mama..UJINGA kabisa Click to expand... Hao ni Mabarakala (bootlickers) wanaojikomba kwa ajili ya kutarajia kupata uteuzi wa vyeo vya kisiasa.