Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa atikisa Kigamboni na kuacha machozi ya furaha!

Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa atikisa Kigamboni na kuacha machozi ya furaha!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Mkutano wa Maoni ya Katiba mpya ulianzaa mida ya Saa nne asubuhi katika uwanja wa mpira mjimwema stendi,

Watu wamepata fursa ya kuchangia maoni ya Katiba na kuuliza maswali ama ufafanuzi,

Vile vile Dr amewaeleza makutano kile chadema tunachotaka kiwemo kwenye katiba,

Maoni ya wananchi:

1) Wamependekeza suala la Ardhi litolewe mikononi mwa rais na liundiwe chombo maalumu kitakachoundwa na bunge,

2) Matibabu liwe ni haki ya kila mtanzania,

3) Madaraka ya Rais yapunguzwe,

4) Suala la elimu liwe ni haki ya kira raia na iwe elimu bora na ya BURE kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu,

5)....
6)....
7)...

Mkutano umemalizika salama saa sita mchana, na Helkopta ya Mh Dr Slaa ndio imepaa mida hii kuelekea Segerea,

Watu walihudhuria wengi sana,

Kivutio cha huzuni ya furaha nipale alipomaliza kuhutubia nakuanza kutoka ambapo kila mmoja alitaka angalau tu kumgusa mkono, lakini wakashindwa kumfikia na kuanza kububujikwa na machozi ya furaha,

Wanakigamboni tunawashukuru sana kwakuhuduria kwenu,

Pipoooooooooz Pawaaaaaaaaa!
..........................................

UPDATES kutoka SEGEREA
.....................

Wakuu ili kupunguza wingi wa post na kwa kuzingatia kuwa ziara ya Dr Slaa iko kwenye majimvo matatu,naomba niunganishe taarifa za mkutano wa Segerea,sasa hivi dr Slaa ndo anaongea,watu wanamsikiliza kwa makini kama picha zinavyosema.angalia picha.
 
Nakala kwa Shelui, Ritz, Shonza, Mtela na Mwigulu kwa maana Kigamboni ni Kaskazini.
 
Mkutano wa Maoni ya Katiba mpya ulianzaa mida ya Saa nne asubuhi,

Watu wamepata fursa ya kuchangia maoni ya Katiba na kuuliza maswali ama ufafanuzi,

Vile vile Dr amewaeleza makutano kile chadema tunachotaka kiwemo kwenye katiba,

Maoni ya wananchi:

1) Wamependekeza suala la Ardhi litolewe mikononi mwa rais na liundiwe chombo maalumu kitakachoundwa na bunge,

2) Matibabu liwe ni haki ya kila mtanzania,

3) Madaraka ya Rais yapunguzwe,

4) Suala la elimu liwe ni haki ya kira raia na iwe elimu bora na ya BURE kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu,

5)....
6)....
7)...

Mkutano umemalizika salama saa sita mchana, na Helkopta ya Mh Dr Slaa ndio imepaa mida hii kuelekea Segerea,

Watu walihudhuria wengi sana,

Kivutio cha huzuni ya furaha nipale alipomaliza kuhutubia nakuanza kutoka ambapo kila mmoja alitaka angalau tu kumgusa mkono, lakini wakashindwa kumfikia na kuanza kububujikwa na machozi ya furaha,

Wanakigamboni tunawashukuru sana kwakuhuduria kwenu,

Pipoooooooooz Pawaaaaaaaaa!
Kigamboni gani wewe unayoizungumzia wewe watu walie sababu wanataka kumgusa Dr.Slaa, teh teh teh, upambe mwingine bana, na wewe ulilia?
 
hivi kumbe siku hizi ukishindwa kumshika babu :laser: unabubujikwa na machozi ya furaha, hakika m4c mnawatu adimu duniani kwani hii haijapata tokea toka dunia imeumbwa.
 
Kigamboni gani wewe
unayoizungumzia wewe watu walie sababu wanataka kumgusa Dr.Slaa, teh teh
teh, upambe mwingine bana, na wewe ulilia?

Hiv Riz n mtt wa fast jet au? mm nachukia watu kuficha majina wanaogopa nn? au wezi na mafisadi?
 
Kigamboni gani wewe unayoizungumzia wewe watu walie sababu wanataka kumgusa Dr.Slaa, teh teh teh, upambe mwingine bana, na wewe ulilia?

Ritz kama ulikuwepo kigamboni, tuhabarishe umeshuhudia nin kwa macho yako na kusikia nini kwa masikio yako
 
Cdm ndo mkomboz wa watz.
Hawa wauza unga kwel wamechoka na hawana jipya.
R.I.P ccm
 
Makamanda wa Chadema kila mmoja anaropoka lake.

Molemo, na Mwita Maranya, wanasema Dr.Slaa atakuwepo Gongolamboto.

Yericko Nyerere, anasema Dr.Slaa atakuwepo Segerea.
 
Last edited by a moderator:
Makamanda wa Chadema kila mmoja anaropoka lake.

Molemo, na Mwita Maranya, wanasema Dr.Slaa atakuwepo Gongolamboto.

Yericko Nyerere, anasema Dr.Slaa atakuwepo Segerea.

Ritz

Najua unataka kuhudhuria. Mikutano mingi ya CHADEMA huwa hukosi. Maana inakusaidia kukujenga kifikra. Baada ya Kigamboni, sasa hivi ni Segerea, pale Vingunguti, baada ya hapo ni Ukonga, Kampala University.
 
Last edited by a moderator:
Hiv Riz n mtt wa fast jet au? mm nachukia watu kuficha majina wanaogopa nn? au wezi na mafisadi?

Hapana, huyu ninKibaka fulani asiyejitambua mpaka sasa, anayesapoti ccm simply because Mwenyekiti wake ni Muislamu. Akija Mwenyekiti mkristo, atahamia cuf.
 
Dr Mungu azidi kukupa afya ili uiponye nchi, magamba yameiharibu haitamaniki.!
 
Adolay

Mbona unamfukuza mwenzako kwa staili ya akufukuzae hakwambii toka...

Mkuu Tumaini Makene nilitaka kufaham kama Ritz alikuwepo mkutanoni

maana anapingana na mleta hojaYericko Nyerere , hapo nikataka ufafanuzi. Maana kama hakushuhudia hakupaswa

kupinga bila ushahidi..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom