Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa atikisa Kigamboni na kuacha machozi ya furaha!

Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa atikisa Kigamboni na kuacha machozi ya furaha!

Nasikia leo kina Yericko walikuwa wanalia ovyo tu walivyomuona Dr.Slaa.
 
Ukihitaji zaidi useme

attachment.php

attachment.php
Hahaa mkuu hawa maccm hawana lakusema kabisa,
 
Nasikia leo kina Yericko walikuwa wanalia ovyo tu walivyomuona Dr.Slaa.
Acha unafiki wewe, hatuwezi kulia "hovyo" kama unavyotaka kudanganya watu,

Soma tena na tena bandiko hilo utaelewa kitu
 
Sio kulia ovyo kwa kumwona Dr Slaa
Wakina Yericko wanamasikitiko makubwa kwa vitu vinavyoendelea nchini kwao
Nchi inayumba hakuna uongozi baada ya mmoja kukamatwa China na madawa ya kulevya
sasa ona Tz imewekwa rehani for everything
Kama hutaki tumnyonge huyu basi tukubaliane yafuatayo
wafungwa wakichina kuuza na kutengeneza madawa ya kulevya Tz
wachina kufanya kazi zote Tz bila pingamizi
wachina kufanya miradi yote mikubwa mikubwa na tutasaini mikataba 19 bila kuwashirikisha wabongo wenzako
Lazima wakina Yericko walie kwa kumwona Dr Slaa maana ndo anayewafungua watu macho
Bila CHADEMA Watz tungekuwa wapi leo tungeshauzwa chezea chama cha majangili, mafisaidi n.k

Nasikia leo kina Yericko walikuwa wanalia ovyo tu walivyomuona Dr.Slaa.
 
Makamanda wa Chadema kila mmoja anaropoka lake.

Molemo, na Mwita Maranya, wanasema Dr.Slaa atakuwepo Gongolamboto.

Yericko Nyerere, anasema Dr.Slaa atakuwepo Segerea.

Wote walikuwa sahihi....
Ingalikuwa ngumu kama Dr. SLAA angalikuwa anatembea kwa mkokoteni...
Kwa CHAPO, kila kitu kimewezekana ndo maana kote kumefikiwa....
These people are serious than ever.
Wait and see!
 
Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?

mkutano umefanyika sebuleni kwako huju Dr.hahahhaha pole sana hebu kazana ile barabara ya kuunganisha kibada-feri iishe utarudi jimboni 2015
 
Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?

Dr.? Mbunge? Kweli Tz tunasafari ndefu na viongozi wanaotangazwa na tume ya uchaguzi , nawewe kabisa uko huku unapiga propaganda na vijana wakati wananchi wako wanakero kibao.... mwige mwenzako mama tibaijuka anakujaga humu anatoa ufafanuzi anaondoka siasa na propaganda anawaachia vijana wasio busara wanaotukana wazazi na mababu zao (Nape) na chinja chinja (mwigulu) a.k.a DPP, DCI, IGP nk
 
hivi kumbe siku hizi ukishindwa kumshika babu :laser: unabubujikwa na machozi ya furaha, hakika m4c mnawatu adimu duniani kwani hii haijapata tokea toka dunia imeumbwa.

We hii ID ni ya Lumumba au unajitolea?
 
Kigamboni gani wewe unayoizungumzia wewe watu walie sababu wanataka kumgusa Dr.Slaa, teh teh teh, upambe mwingine bana, na wewe ulilia?

Mkuu habari ya Dodoma SHIGELLA uvccm makini
 
Last edited by a moderator:
Wote walikuwa sahihi....
Ingalikuwa ngumu kama Dr. SLAA angalikuwa anatembea kwa mkokoteni...
Kwa CHAPO, kila kitu kimewezekana ndo maana kote kumefikiwa....
These people are serious than ever.
Wait and see!

Magamba wameigwa bao Dr. Slaa kaenda kumalizia mkutano Iringa Mwembetogwa
 
Dr vipi za siku nyingi sijafika Dar muda mrefu. Hivi ili foleni imeisha??.Na ule usafiri wa express umeshaanza?? Ili tumwambie Dr Slaa asitumie CHOPA Dar.
Foleni bado ipo na ujenzi wa njia ya mabasi yaendayo kasi unaendelea.
Kilichonishangaza ni matumizi ya helikopta ndani ya Dar.
 
Ritz kama ulikuwepo kigamboni, tuhabarishe umeshuhudia nin kwa macho yako na kusikia nini kwa masikio yako
adolay ndio tatizo lenu CHADEMA yaani vumbi la Helikopta mnapofikicha macho basi watu walilia sana, wasilie Makanisani na Misikitini walilie mtu anateketeza mafuta hewani?
Propaganda hizo zinavyasambaa hiyo ndio Kigamboni? maana wenzako wametengeneza tena huku
slaa-moshi12.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ritz kama ulikuwepo kigamboni, tuhabarishe umeshuhudia nin kwa macho yako na kusikia nini kwa masikio yako
adolay Propaganda nyingine mnazidisha sasa, hivi Helkopta ikipaa hayo mavumbi yanayotimka basi watu wakipenga vikamasi, ndio mseme wanalia ? sasa unataka Ritz ashuhudie kwa macho? mbona wenzako wameleta picha ya mkutano wa Kigamboni kupitia web ingine? Kigamboni ndio pako hivyo? michongoma nk
Kweli ushabiki umekuingia unaweza mmeza mtu kwa kuiona tu helikopta wakati inateketeza mapesa, gd9t Mkuu

slaa-moshi12.jpg
 
Last edited by a moderator:
adolay ndio tatizo lenu CHADEMA yaani vumbi la Helikopta mnapofikicha macho basi watu walilia sana, wasilie Makanisani na Misikitini walilie mtu anateketeza mafuta hewani?
Propaganda hizo zinavyasambaa hiyo ndio Kigamboni? maana wenzako wametengeneza tena huku
slaa-moshi12.jpg

Ukwaju asante kwa picha hii nzuri na inapendeza sana

Chadema wanamanage risks za barabara mbovu kwa miaka hamsini ccm madarakani nitabu tupu -Brabara mbovu na mbaya sana

Chadema inamanage cost kwa waheshimewa wachache tu kusafiri badala ya misafara ya maV8 mengi kama ile ya ccm

Chadema inajitahidi kuepusha shari na polissisisemu kwa kupita angani na kushukia sehemu ya matukio bila bughudha barabarani

Unaweza kuona jinsi chadema walivyowabunifu katika kumanage mambo mbalimbali kitaalam zaid ya lazima na nguvu za kisisiem.
 
Last edited by a moderator:
Ritz kama ulikuwepo kigamboni, tuhabarishe umeshuhudia nin kwa macho yako na kusikia nini kwa masikio yako

hili swali ngumu kumeza teh teh Ritz upo?
 
Last edited by a moderator:
Nasikia leo kina Yericko walikuwa wanalia ovyo tu walivyomuona Dr.Slaa.

we baki unajitekenya hapo kwenye keyboard hii nchi imeshaingia mikononi mwa wananchi,hiyo do chadema
 
Pumba tupu mimi nipo Kigamboni wiki sasa ..sijalia wala nini
nna furaha tele...
labda Dr slaa kaacha Machozi yake
 
Back
Top Bottom