Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa atikisa Kigamboni na kuacha machozi ya furaha!

Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa atikisa Kigamboni na kuacha machozi ya furaha!

Inaonyesha unaumia sana mkuu,

Pole sana utapona tu,

Mngekuwa kweli mnakubalika na ni chama cha watu sawa bt nyie cha ukoo..na sera nyepesi wazee wa matusi.mwisho wenu upo karibu jifunzen siasa kwanza kwasasa bado hamnauwezo hata wakuongoza familia zenu.
 
Kigamboni gani wewe unayoizungumzia wewe watu walie sababu wanataka kumgusa Dr.Slaa, teh teh teh, upambe mwingine bana, na wewe ulilia?

Kawah buku saba c unajua leo panafungwa mapema,
 
Aksante kwa taarifa nzuri,,wanaotaka katiba itakayomjali na kumtetea mwananchi tutakuwepo
 
Mkuu Tumaini Makene nilitaka kufaham kama Ritz alikuwepo mkutanoni

maana anapingana na mleta hojaYericko Nyerere , hapo nikataka ufafanuzi. Maana kama hakushuhudia hakupaswa

kupinga bila ushahidi..

Adolay,

Mie sipingi Dr. Slaa kuwepo Kigamboni ninachopiga kuwa watu walikuwa wakibubujikwa na machozi Dr.Slaa alivyoonda kwa mujibu wa Yericko Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
attachment.php
Huu ndiyo umati wa watu waliobubujikwa na machozi na kutaka kugusana na Dr.Slaa, teh teh teh teh.
 
Adolay,

Mie sipingi Dr. Slaa kuwepo Kigamboni ninachopiga kuwa watu walikuwa wakibubujikwa na machozi Dr.Slaa alivyoonda kwa mujibu wa Yericko Nyerere.
Nivigumu mimi kukulazimisha uamini kile ambacho najua wazi kuwe wewe ni mgumu kuamini hilo!
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?

Dr vipi za siku nyingi sijafika Dar muda mrefu. Hivi ili foleni imeisha??.Na ule usafiri wa express umeshaanza?? Ili tumwambie Dr Slaa asitumie CHOPA Dar.
 
Updates za jimbo la Segerea mkutano uluofanyika Vingunguti,habari ktk picha.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377345419127.jpg
    uploadfromtaptalk1377345419127.jpg
    65.8 KB · Views: 164
  • uploadfromtaptalk1377345451168.jpg
    uploadfromtaptalk1377345451168.jpg
    79.3 KB · Views: 132
  • uploadfromtaptalk1377345508708.jpg
    uploadfromtaptalk1377345508708.jpg
    65.4 KB · Views: 131
Wakuu ili kupunguza wingi wa post na kwa kuzingatia kuwa ziara ya Dr Slaa iko kwenye majimvo matatu,naomba niunganishe taarifa za mkutano wa Segerea,sasa hivi dr Slaa ndo anaongea,watu wanamsikiliza kwa makini kama picha zinavyosema.angalia picha.
attachment.php


Kwa hisani ya jigoku; nimekuza tu Ritz aione vizuri
 
Baadhi ya makamanda waliohudhuria mafunzo ya awali ya ulinzi na usalama wa chama wakitekeleza majukumu yao leo ktk kiwanja cha Msikate tamaa Vingunguti,ni wakati Dr Slaa akiwahutubia wananchi waluojitokeza na wananchi waliokuwa wamesimama mbali kidogo kutoka gari la jukwaa lilipo kwa sababu za kiusalama.watoto nao wameshiriki kama huyo anaeandaliwa kuchukia ufisadi unaopelekea wakae chini kuanzia chekechea hadi msingi.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377346463105.jpg
    uploadfromtaptalk1377346463105.jpg
    74.6 KB · Views: 335
  • uploadfromtaptalk1377346590075.jpg
    uploadfromtaptalk1377346590075.jpg
    82 KB · Views: 559
  • uploadfromtaptalk1377346679106.jpg
    uploadfromtaptalk1377346679106.jpg
    78.4 KB · Views: 326
Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?


Ha ha ha ha ha ha ha ha!!!! Usiogope kaka, kama umefanya kazi utachaguliwa tena. Kama umeshikamana na siasa za MAGAMBA shauri yako. Waangalie wenzako akina Filikunjombe, Mpina, nk. Wamejitenga na siasa za CCM hata kama CHADEMA tukienda kufanya mikutano kwenye majimbo yao uwa hawaogipi kama wewe.
 
Kigamboni gani wewe unayoizungumzia wewe watu walie sababu wanataka kumgusa Dr.Slaa, teh teh teh, upambe mwingine bana, na wewe ulilia?


Wewe ukisikia Dr Slaa, kama unakula unapaliwa kwa sababu ya mshituko, VP woga wote wa nini? au kwa vile atakuja kuwa Rais?, kwani unaogopa nini? Dr Slaa atakusamehe kama alivyowasamehe wengine anafahamu wewe ni binadamu

Nikukumbushe Mkuu, juzi watu walikuwa wanakutafuta utoe ufafanuzi kuhusu Madawa ya Kulevya mbona hujaonekana wala kusikika au wamegusa panapouma????
 
Mkuu nimeshuhudia leo kwa macho yangu watu wanampenda Dr Slaa zaidi ya watu wanavyofikiri hapa jf,

Wamama wanalia kisa hawajapata bahati ya kumsalimia tu,

Kweli Mungu ampe nguvu Dr Slaa atimize ahadi ya kutuongoza kulikomboa taifa hili

Kama uliwahi kudanganya na ukaendelea kudanganya kwa miaka mingi kuwa Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere ni baba yako mzazi kuna kitu gani kitaweza kukufanya usidanganye tena kama kina mama walitoa machozi.

Hakuna uwongo mchafu zaidi ya kumsingizia mama yako kuwa alifanya mapenzi na Mwl. Nyerere na ukazaliwa.

Kama kweli kuna laana hapa dunia lazima utakuwa umepata laana kubwa sana kwa uwongo huo
 
Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?

Ngungulile huna aibu au, kwa mtu mwenye akili timamu, naamini Helicopter ni muhimu Dar es Salaam kuliko sehemu nyingine yoyote ile au Miundombinu umeridhika nayo mwanakigamboni mwenzetu maana wewe kwenye Panton hupangi foleni, hata hivyo ukikuta meli inavuka ama Panton halipo inakula kwako.

Kaka, saidia wananchi, sio kula na kupuliza, huo ni Unafiki na wanakigamboni watakuhumu kwa hilo. JIANGALIE
 
Dr wetu na rais wetu mpendwa atakae ingia ikulu kwa kura za wananchi na sio kwa kalamu
anao uwezo wa kufanya mikutano 3 hadi 4 kwa siku
Ana nguvu za kuhimili mikikimikiki


Makamanda wa Chadema kila mmoja anaropoka lake.

Molemo, na Mwita Maranya, wanasema Dr.Slaa atakuwepo Gongolamboto.

Yericko Nyerere, anasema Dr.Slaa atakuwepo Segerea.
 
Back
Top Bottom