Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa atikisa Kigamboni na kuacha machozi ya furaha!

Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa atikisa Kigamboni na kuacha machozi ya furaha!

Ukwaju asante kwa picha hii nzuri na inapendeza sana
Chadema wanamanage risks za barabara mbovu kwa miaka hamsini ccm madarakani nitabu tupu -Brabara mbovu na mbaya sana
Chadema inamanage cost kwa waheshimewa wachache tu kusafiri badala ya misafara ya maV8 mengi kama ile ya ccm
Chadema inajitahidi kuepusha shari na polissisisemu kwa kupita angani na kushukia sehemu ya matukio bila bughudha barabarani
Unaweza kuona jinsi chadema walivyowabunifu katika kumanage mambo mbalimbali kitaalam zaid ya lazima na nguvu za kisisiem.
Mkuu hapo ni kweli kabisa maana mafuta ya Helkopta bei chee kuliko hayo maV8 30 ya kukimbiza mwenge bado ya kudai Serikali 2 twafaaa lakini unaitwa huku
https://www.jamiiforums.com/jamii-i...kagame-na-mseveni-ni-moja-kwa-tanzania-2.html
bila wewe mpiganaji wa Kitutsi hiyo Post inadoda
 
Back
Top Bottom