Vijijini Lawama
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 298
- 73
Dr. Slaa chachafya magamba hadi watoke mashimoni kama ilivyo kwa Ritz na Dr. Faustine Ndugulile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magamba mkisikia dr slaa mnaeeweseeeka dah.
Hahahaa leo tumevamia jimbo lako mkuu bila taarifa,Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?
Wakuu ili kupunguza wingi wa post na kwa kuzingatia kuwa ziara ya Dr Slaa iko kwenye majimvo matatu,naomba niunganishe taarifa za mkutano wa Segerea,sasa hivi dr Slaa ndo anaongea,watu wanamsikiliza kwa makini kama picha zinavyosema.angalia picha.
Km kulia umelia ww na post yk ya kishabiki km mtangazaji mpira semeni na segerea kumejaa hao watoto wa primary..weken picha zenu za kuedit wajazen mwonekane mnawatu..
Mkutano wa Maoni ya
Katiba mpya ulianzaa mida ya Saa nne asubuhi katika uwanja wa mpira
mjimwema stendi,
Watu wamepata fursa ya kuchangia maoni ya Katiba na kuuliza maswali ama
ufafanuzi,
Vile vile Dr amewaeleza makutano kile chadema tunachotaka kiwemo kwenye
katiba,
Maoni ya wananchi:
1) Wamependekeza suala la Ardhi litolewe mikononi mwa rais na liundiwe
chombo maalumu kitakachoundwa na bunge,
2) Matibabu liwe ni haki ya kila mtanzania,
3) Madaraka ya Rais yapunguzwe,
4) Suala la elimu liwe ni haki ya kira raia na iwe elimu bora na ya BURE
kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu,
5)....
6)....
7)...
Mkutano umemalizika salama saa sita mchana, na Helkopta ya Mh Dr Slaa
ndio imepaa mida hii kuelekea Segerea,
Watu walihudhuria wengi sana,
Kivutio cha huzuni ya furaha nipale alipomaliza kuhutubia nakuanza
kutoka ambapo kila mmoja alitaka angalau tu kumgusa mkono, lakini
wakashindwa kumfikia na kuanza kububujikwa na machozi ya furaha,
Wanakigamboni tunawashukuru sana kwakuhuduria kwenu,
Pipoooooooooz Pawaaaaaaaaa!
..........................................
UPDATES kutoka SEGEREA
.....................
Mungu ampe maisha marefu shujaa huyu.
Mkuu Molemo, Kwa jinsi watanzania wengi tulivyo na Imani na Kiongozi huyu, nina hakika sala na dua zetu zinafika kwenye kiti cha Enzi cha Mwenyezi Mungu. Kwa sasa Dr.W.Slaa ni sawa na sauti ya mtu aliae nyikani
hivi hujui kuwa kuna chopaMakamanda wa Chadema kila mmoja anaropoka lake.
Molemo, na Mwita Maranya, wanasema Dr.Slaa atakuwepo Gongolamboto.
Yericko Nyerere, anasema Dr.Slaa atakuwepo Segerea.
Kigamboni gani wewe unayoizungumzia wewe watu walie sababu wanataka kumgusa Dr.Slaa, teh teh teh, upambe mwingine bana, na wewe ulilia?
Kukusaidia tu kwa siku chadema inafanya zaidi ya mikutano nane na kuna timu mbili inayoongozwa na Mhe. Mbowe na inayoongozwa na Dr. Slaa..Makamanda wa Chadema kila mmoja anaropoka lake.
Molemo, na Mwita Maranya, wanasema Dr.Slaa atakuwepo Gongolamboto.
Yericko Nyerere, anasema Dr.Slaa atakuwepo Segerea.