Inaonyesha unaumia sana mkuu,
Pole sana utapona tu,
Kigamboni gani wewe unayoizungumzia wewe watu walie sababu wanataka kumgusa Dr.Slaa, teh teh teh, upambe mwingine bana, na wewe ulilia?
Mkuu Tumaini Makene nilitaka kufaham kama Ritz alikuwepo mkutanoni
maana anapingana na mleta hojaYericko Nyerere , hapo nikataka ufafanuzi. Maana kama hakushuhudia hakupaswa
kupinga bila ushahidi..
Huu ndiyo umati wa watu waliobubujikwa na machozi na kutaka kugusana na Dr.Slaa, teh teh teh teh.
Nivigumu mimi kukulazimisha uamini kile ambacho najua wazi kuwe wewe ni mgumu kuamini hilo!Adolay,
Mie sipingi Dr. Slaa kuwepo Kigamboni ninachopiga kuwa watu walikuwa wakibubujikwa na machozi Dr.Slaa alivyoonda kwa mujibu wa Yericko Nyerere.
Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?
Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?
Huu ndiyo umati wa watu waliobubujikwa na machozi na kutaka kugusana na Dr.Slaa, teh teh teh teh.
Wakuu ili kupunguza wingi wa post na kwa kuzingatia kuwa ziara ya Dr Slaa iko kwenye majimvo matatu,naomba niunganishe taarifa za mkutano wa Segerea,sasa hivi dr Slaa ndo anaongea,watu wanamsikiliza kwa makini kama picha zinavyosema.angalia picha.
Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?
Kigamboni gani wewe unayoizungumzia wewe watu walie sababu wanataka kumgusa Dr.Slaa, teh teh teh, upambe mwingine bana, na wewe ulilia?
Mkuu nimeshuhudia leo kwa macho yangu watu wanampenda Dr Slaa zaidi ya watu wanavyofikiri hapa jf,
Wamama wanalia kisa hawajapata bahati ya kumsalimia tu,
Kweli Mungu ampe nguvu Dr Slaa atimize ahadi ya kutuongoza kulikomboa taifa hili
Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?
Kutumia helikopta ni katika suala zima la kukimbizana na muda,au kinakushangaza nini hapo dokta?Yericko Nyerere mkutano wenu mlifanyia wapi? Dar mnatumia helikopta?
Makamanda wa Chadema kila mmoja anaropoka lake.
Molemo, na Mwita Maranya, wanasema Dr.Slaa atakuwepo Gongolamboto.
Yericko Nyerere, anasema Dr.Slaa atakuwepo Segerea.
Huu ndiyo umati wa watu waliobubujikwa na machozi na kutaka kugusana na Dr.Slaa, teh teh teh teh.