Ukwaju asante kwa picha hii nzuri na inapendeza sana
Chadema wanamanage risks za barabara mbovu kwa miaka hamsini ccm madarakani nitabu tupu -Brabara mbovu na mbaya sana
Chadema inamanage cost kwa waheshimewa wachache tu kusafiri badala ya misafara ya maV8 mengi kama ile ya ccm
Chadema inajitahidi kuepusha shari na polissisisemu kwa kupita angani na kushukia sehemu ya matukio bila bughudha barabarani
Unaweza kuona jinsi chadema walivyowabunifu katika kumanage mambo mbalimbali kitaalam zaid ya lazima na nguvu za kisisiem.