Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa ndani ya Ukonga, Uwanja wa Kampala ulioyopo Gongolamboto

Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa ndani ya Ukonga, Uwanja wa Kampala ulioyopo Gongolamboto

Wakuu kamanda Mbogoro wakili msomi yuko jukwaani muda si mrefu nitaweka picha humu.
 
Moderator tafadhali unganisha hii thread na nyingine niliyoianzisha 'ya live updates kutoka Ukonga' ili kuwa na mtiririko mzuri wa kufuatilia matukio yanayoripotiwa.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu to be honest mimi si mtaalamu sana wa kupiga picha,hivyo mtaniwia radhi nitaweka picha kwa kadri ya uwezo wangu,namshukuru Mwita Maranya anatupia kilekile anachokiongea Wakili Msomi Edson Mbogoro.updates za picha kupitia mchina wangu ni hizi chini.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377347632557.jpg
    uploadfromtaptalk1377347632557.jpg
    68.9 KB · Views: 589
  • uploadfromtaptalk1377347704632.jpg
    uploadfromtaptalk1377347704632.jpg
    57.5 KB · Views: 1,652
  • uploadfromtaptalk1377347789648.jpg
    uploadfromtaptalk1377347789648.jpg
    69.5 KB · Views: 1,626
Mzee wa rula:tupe habari usiwajari hao mafisadi.tena komaa mi niko online kwako hadi mwisho achana nako hako kavuvuzera
 
Wakuu to be honest mimi si mtaalamu sana wa kupiga picha,hivyo mtaniwia radhi nitaweka picha kwa kadri ya uwezo wangu,namshukuru Mwita Maranya anatupia kilekile anachokiongea Wakili Msomi Edson Mbogoro.updates za picha kupitia mchina wangu ni hizi chini.

Asante sana kwa Picha.
 
Kamanda Mbogoro anachambua mifumo ya muungano kati ya serikali mbili na serikali tatu.
Madai ya ccm kuwa serikali tatu ni gharama si kweli kwakuwa chini ya serikali mbili kuna wabunge 438 - wabunge Tanzania 357 na baraza la wawakilishi Zanzibar 81. Ukipiga mahesabu ya mishahara tu ya wabunge sh.11,000,000 kwa mwezi kisha linganisha na idadi wa wabunge wachache 75 wa muungano na wabunge wachache wa nchi washirika.
 
Kamanda hii ni tz sikaelewe hako kanakutuhumu nini buku 5 kanazani watu wa magamba kashindwe na kuregea ktk jina laYESU
 
Wakili msomi anawauliza wananchi kuhusu serikali tatu,nao kwa sauti moja ya nguvu ya umoja wanaunga mkono serikali tatu,wakati huo huo wananchi wakiendelea kutoa maoni kwa maandishi kabla ya kuchangia kwa kuongea,mwananchi hapo chini akijaza maoni kwenye fomu.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377348338901.jpg
    uploadfromtaptalk1377348338901.jpg
    76.7 KB · Views: 267
  • uploadfromtaptalk1377348481330.jpg
    uploadfromtaptalk1377348481330.jpg
    56 KB · Views: 231
  • uploadfromtaptalk1377348510974.jpg
    uploadfromtaptalk1377348510974.jpg
    39.7 KB · Views: 231
  • uploadfromtaptalk1377348538655.jpg
    uploadfromtaptalk1377348538655.jpg
    83.5 KB · Views: 1,443
Sasa amepanda jukwaani Dkt. Slaa kuanza kuchukua maoni ya wananchi. Lakini kabla ya kukaribisha wananchi anaanza kwa kutoa utangulizi kwa kunukuu katiba ya sasa katika utangulizi unachosema kuwa ''sisi wananchi wa Tanzania tumeamua kwa ridhaa yetu kutengeneza katiba hii''. Anawauliza wazee waliokuwepo mwaka 1977 kama walishirikishwa kuandaa katiba hiyo wote wanasema hapanaaaaaa!
 
Dr Slaa amepanda jukwaani kwa ajili ya kutema nondo zaidi. Anaelezea lengo la CDM kuingia katika baraza la wazi badala ya kujifungia ndani na kujadili.
 
Hakuna kulala hadi kieleweke
Mkuu jigoku tunashukuru sana kwa picha
attachment.php



attachment.php


attachment.php
 
Wakuu leo ktk mikutano yote miwili niliyohudhuria leo wa Vingunguti jimbo la Segerea na sasa niko Gongolamboto sijawaona polisisiemu na ni full amani wala tatizo hakuna.mikutano ya CDM Red brigade yatosha.
 
Dkt. Slaa anasoma na kufafanua barua za mawasiliano baina ya ofisi yake na tume ya mabadiliko ya katiba. Anafafanua uhalali wa Chadema kuruhusiwa na tume kuwa baraza la kikatiba na kuwataka wananchi kuwa huru kutoa maoni yao. Sasa wananchi wamejipanga mstari tayari kuanza kutoa maoni yao.
 
Dr W Slaa yuko jukwaani sasa hivi,mkuu Mwita Maranya nakuachia uwawekee watu kile anachokieleza Dr Slaa.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377349925513.jpg
    uploadfromtaptalk1377349925513.jpg
    81 KB · Views: 196
dar kama kawaida yao wanawasanifu chadema halafu wanakwenda na hamsini zao.
 
Back
Top Bottom