Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa ndani ya Ukonga, Uwanja wa Kampala ulioyopo Gongolamboto

Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa ndani ya Ukonga, Uwanja wa Kampala ulioyopo Gongolamboto

Naona Dr.W.Slaa, anachungulia kufahamu kama vijana wake wa Ufipa Project kama wapo kazini.
Mkuu Ritz kwa hesabu ya haraka haraka katika huu mkutano hata watu 200 hawajafika pamoja na jitihada kubwa za kumtanguliza kijana wa Kikurya Mwita Maranya kuwashawishi lakini wananchi wameamua kuwapuuza.Ni aibu kwa Dr Slaa kwani kuna kina dalili kwa Dar hata akigombea ujumbe wa nyumba kumi hatopata wananchi hawana imani nae.
 
Tayari katibu mkuu wa Chadema Dkt. Slaa ameshawasili uwanjani. Mjumbe wa kamati kuu anatoa maneno ya utangulizi.
Viongozi wengine walioambatana nae ni Mama Kaihula-mbunge, Katibu wa mkoa Mzee Chacha, Mwenyekiti wa Segerea kamanda Mchele na wengine wengi.
Pole sana Mwita Maranya hii ndio Dar sasa sijui utakimbilia wapi?
 
Kwa ujumla maudhurio si mazuri ukiringanisha na mwaka jana. Pale pale kwenye uwanja wa kampala kwani watu wa pugu,mwisho wa lami,chanika,wengi hawakuwepo cha msingi chadema waongeze nguvu ili waweze kuchukua majimbo yote mawili,chanika,ukonga.
 
Ritz naona Dr.W.Slaa anaumiza sana vichwa vya mafisadi wenu pale Lumbuma, hamna hata furaha pindi mkisikia Dr.W.Slaa anafanya mikutano ya kuimarisha chama au kuwazindua watanzania kwenye usingizi mzito walio lala. Ritz mnajisumbua bure na mabosi wako wa hapo Lumumba, mziki wa Dr.W.Slaa ni mzito wameshindwa wakina Kikwete na genge lake ya wauza madawa na mafisadi wenzake kuucheza ujekuwa wewe kibaraka wa buku 7?
 
Ninashauri Dkt Slaa akafanyo show Rwanda anakubalika kule kuliko Diamond wa bongo fleva
 
Ni jambo la kufedhehesha na kusikitisha kweli, kitendo cha Dr Slaa (mgombea URAIS) kuhutubia makumi ya wananchi (bila shaka walikuwa CHADEMA) wakati yeye Dr Slaa ni kiongozi wa kitaifa, ni jambo la kusononesha kweli.

Niwape CHADEMA mitazamo ya mambo ambayo wenda yakawa sababu ya Dr Slaa kukosa watu kwenye mikutano yake, nadhani yafuatayo yatakuwa yana changia kwa namna moja ama nyingine;

i) Kuchokwa kwa Dr Slaa na wananchi - kama ilivyo ada, ukigombea nafasi ya urais na ukakosa, basi wewe utakuwa kundi la wakukosa daima (mpaka watu utawakosa).

ii) Kumomonyoka kwa maadili na heshima ya Dr Slaa mbele ya jamii - nadhani wote tunajua ni yapi yaliyo msibu Dr Slaa miaka ya hivi karibuni.

iii) Waandaaji wa mikutano yake ni WABOVU - hapa pakikosewa basi shughuli nzima inavunda, nadhani CHADEMA ingetafuta watu wenye uwezo wa kuandaa mikutano ili iweze kujaa, na kama hawa hakina Mwita Maranya wataendelea kutumiwa na CHADEMA katika kuandaa mikutano, basi tutarajie hali hii hii ya viongozi kama Dr Slaa kuhutubia miti.
 
Last edited by a moderator:
Ninashauri Dkt Slaa akafanyo show Rwanda anakubalika kule kuliko Diamond wa bongo fleva

Pole kijana, kwani ni bahati mbaya Dr.W.Slaa sio mwanamuziki na wala si mtalii na wala kwenye mikutano yake hakuna show za kipumbavu za kupumbaza wananchi au ubwabwa kama mnavyofanya.Dr.W.Slaa hafanyi hayo mambo ya kualika
wanamuziki, nakupa pole tena Tambala
 
Hamy D huo ushauri mpelekee Kikwete anayefuga wauza sembe sisi Chadema hatuhitaji ushauri kutoka kwa misukule wa Lumumba.
Mkutano wa leo ulikuwa mkubwa na wananchi takribani 24 walipata nafasi ya kutoa maoni yao.

Kama unafikiri tulikuwa tunafanya mashindano ya kusomba watu kwa malori kama mnavyofanya nyie basi subiri matangazo ya television muumbuke.
Mwenyekiti wako Kikwete hawezi kupata nusu ya watu waliohudhuria leo hadi watu wasombwe kwa malori na kulipwa posho pamoja na kufunga mashule na kuamrisha waalimu wapeleke wanafunzi uwanjani.
 
we HAMY DADA jana dr slaa alikuwa chalinze kwenye ngome ya mwenyekiti wenu. mtiti ulokuwepo pale hata aje ------ mwenzao (kikwete) hauwezi kufikia ule. alafu hii sio mikutano ya chama haya ni mabalaza ya katiba dada.
 
“Nazungumza wazi hapa leo, vyama vya siasa ni taasisi, vifuate utaratibu vijadili kama Baraza la katiba la Taasisi na kutuwasilishia maoni yao, sisi Tume hatutachukua maoni ya jukwaani wala ya kwenye helikopta.

“Ukiangalia kwenye Katiba hii, utaona kuwa wananchi wanataka dira ya Taifa, dira ya uchumi, kisiasa na kijamii, lakini cha kushangaza mambo yanayozungumzwa ni machache tu ya madaraka, sasa haya mengine yataboreshwaje?,''alihoji Jaji Warioba.

Mkutano wote from start to the end unachukua masaa mawili wakati Rasimu ya Katiba ina soft copy kurasa 107.

This is laughable if not a joke.
 
Mkuu Ritz kwa hesabu ya haraka haraka katika huu mkutano hata watu 200 hawajafika pamoja na jitihada kubwa za kumtanguliza kijana wa Kikurya Mwita Maranya kuwashawishi lakini wananchi wameamua kuwapuuza.Ni aibu kwa Dr Slaa kwani kuna kina dalili kwa Dar hata akigombea ujumbe wa nyumba kumi hatopata wananchi hawana imani nae.

Hao 200 wamekuja wenyewe bila kusombwa kwa malori kama mnavyofanya. Ili Kikwete apate watu mkutanoni lazima wanamuziki kadhaa wawepo ama wanafunzi walazimishwe kuvunja vipindi na kwenda kumsikiliza.
Tofauti na hao wasiozidi 200 ambao wamekuja wenyewe kwa nauli zao ili washirikiane na Chadema katika kutengeneza katiba bora yenye maslahi kwa watanzania wote.
 
Mkutano wote from start to the end unachukua masaa mawili wakati Rasimu ya Katiba ina soft copy kurasa 107.

This is laughable if not a joke.

Kama ungekuwa na akili timamu ungetambua kuwa hakuna namna unaweza kuijadili rasimu ya katiba kwa siku moja ama mbili na kuimaliza.
Kama ungekuwa na akili timamu ungegundua kuwa kinachofanyika sasa ni kuangalia maeneo yanayohitaji kuboreshwa na ndio maana Chadema tumeamua kwenda kwa wananchi wenyewe watoe maoni yao ili sisi tuyafikishe tume kwakuwa wajumbe wengi wa mabaraza ya katiba ya wilaya ccm imeyachakachua kwa kuwalazimisha wanachama wake kukariri msimamo wa chama badala ya msimamo wa wananchi wengi waliowachagua na kuwatuma huko.
 
Back
Top Bottom