Hivi haya mapendekezo ya Dr.Slaa yatatumika wapi.
Kwa mama yako!Hivi haya mapendekezo ya Dr.Slaa yatatumika wapi.
Mkuu Ritz kwa hesabu ya haraka haraka katika huu mkutano hata watu 200 hawajafika pamoja na jitihada kubwa za kumtanguliza kijana wa Kikurya Mwita Maranya kuwashawishi lakini wananchi wameamua kuwapuuza.Ni aibu kwa Dr Slaa kwani kuna kina dalili kwa Dar hata akigombea ujumbe wa nyumba kumi hatopata wananchi hawana imani nae.Naona Dr.W.Slaa, anachungulia kufahamu kama vijana wake wa Ufipa Project kama wapo kazini.
- Ritz*,
- Dr.W.Slaa,
- PISTO LERO,
- Jakubumba,
- bdo,
- Mwita Maranya,
- kakuku,
- lushiba,
- Thereni,
- Hamuyu,
- mwemwejo,
- Fisadidagaa
Mtatukana sana mwaka huu siasa zina wenyewe hiziKwa mama yako!
Pole sana Mwita Maranya hii ndio Dar sasa sijui utakimbilia wapi?Tayari katibu mkuu wa Chadema Dkt. Slaa ameshawasili uwanjani. Mjumbe wa kamati kuu anatoa maneno ya utangulizi.
Viongozi wengine walioambatana nae ni Mama Kaihula-mbunge, Katibu wa mkoa Mzee Chacha, Mwenyekiti wa Segerea kamanda Mchele na wengine wengi.
Naona Dr.W.Slaa, anachungulia kufahamu kama vijana wake wa Ufipa Project kama wapo kazini.
- Ritz*,
- Dr.W.Slaa,
- PISTO LERO,
- Jakubumba,
- bdo,
- Mwita Maranya,
- kakuku,
- lushiba,
- Thereni,
- Hamuyu,
- mwemwejo,
- Fisadidagaa
Povu la nini, tusi liko wapi hapo?Mtatukana sana mwaka huu siasa zina wenyewe hizi
Ninashauri Dkt Slaa akafanyo show Rwanda anakubalika kule kuliko Diamond wa bongo flevaRitz naona Dr.W.Slaa anaumiza sana vichwa vya mafisadi wenu pale Lumbuma, hamna hata furaha pindi mkisikia Dr.W.Slaa anafanya mikutano ya kuimarisha chama au kuwazindua watanzania kwenye usingizi mzito walio lala. Ritz mnajisumbua bure na mabosi wako wa hapo Lumumba, mziki wa Dr.W.Slaa ni mzito wameshindwa wakina Kikwete na genge lake ya wauza madawa na mafisadi wenzake kuucheza ujekuwa wewe kibaraka wa buku 7?
Ninashauri Dkt Slaa akafanyo show Rwanda anakubalika kule kuliko Diamond wa bongo fleva
Hivi haya mapendekezo ya Dr.Slaa yatatumika wapi.
Nazungumza wazi hapa leo, vyama vya siasa ni taasisi, vifuate utaratibu vijadili kama Baraza la katiba la Taasisi na kutuwasilishia maoni yao, sisi Tume hatutachukua maoni ya jukwaani wala ya kwenye helikopta.
Ukiangalia kwenye Katiba hii, utaona kuwa wananchi wanataka dira ya Taifa, dira ya uchumi, kisiasa na kijamii, lakini cha kushangaza mambo yanayozungumzwa ni machache tu ya madaraka, sasa haya mengine yataboreshwaje?,''alihoji Jaji Warioba.
Mkuu Ritz kwa hesabu ya haraka haraka katika huu mkutano hata watu 200 hawajafika pamoja na jitihada kubwa za kumtanguliza kijana wa Kikurya Mwita Maranya kuwashawishi lakini wananchi wameamua kuwapuuza.Ni aibu kwa Dr Slaa kwani kuna kina dalili kwa Dar hata akigombea ujumbe wa nyumba kumi hatopata wananchi hawana imani nae.
Mkutano wote from start to the end unachukua masaa mawili wakati Rasimu ya Katiba ina soft copy kurasa 107.
This is laughable if not a joke.
Usitume tena mpaka wakupe buk 5 yako,hawashindwi kukutosa kama ilivokuwa kwa Ludo,