Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa ndani ya Ukonga, Uwanja wa Kampala ulioyopo Gongolamboto

Misimamo wa wananchi wengi ndiyo upi huo wakati wanaowawakilisha ni wananchi wengi waliowachagua. Huku ni kuwadharau na kuwatukana wananchi wengi waliowachagua kwa mujibu sheria ya mabadiliko ya katiba kifungu cha 83.

By the way, CHADEMA ni kama taasisi, asasi au kikundi cha watu wenye mtazamo mmoja katika macho ya sheri ya mabadiliko ya katiba lakii kikubwa zaidi, Tume ya Jaji Warioba haitachukua maoni ya jukwaani wala ya kwenye Helikopta.

Endeleeni na mikutano yenu ya kwenye helikopta na majukwaani.
 
iii) Waandaaji wa mikutano yake ni WABOVU - hapa pakikosewa basi shughuli nzima inavunda, nadhani CHADEMA ingetafuta watu wenye uwezo wa kuandaa mikutano ili iweze kujaa,

Unamaanisha wale akina ABOOD na SHABIBY ili wawasombe kwa MAGARI siyo.....
CHADEMA huwa haiwalazimishi watu kuhudhuria mikutano kama MAGAMBA wafanyavyo!
 
Hivi haya mapendekezo ya Dr.Slaa yatatumika wapi.

Umejiulizia kama DR. SLAA ni mtanzania na mwana-CHADEMA?
Jibu ambalo ungalipata, lingalitosha kujibu swali lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…