mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Hawachelewi kuleta ule mzani wa kuhamisha! Kuna mahali ilikuwa inasombwa dust na kokoto, watu walikuwa wanabeba hadi tani 60..Bongo sheria zimebana sana.
Ukitaka usisumbuane nao unaipeleka kule Kilombero ikavute matela ya kubeba miwa kule unaweza ukavuta hata tela 3.Na hakuna mzani gari inatoka shamba unaenda Kiwandani.
Hayo ni matumizi mabaya ya magariWanalizombe wana R500 inavuta 30t!
Azam volvo FH hp 610 tani 30..
Sofi motors volvo FH 610 hp nao wanavuta hizo hizo tani 30!
Hapana wapi sahihi, heavy machines Ni kwa ajili ya mizigo mizito , sawa lakini likibeba light cargo linakuwabhaliwei stressed, Ni Kama linakuwa linatembea tupu tu , youll be rewarded na very lengthy service lifeHayo ni matumizi mabaya ya magari
Matumizi ya wese je??Hapana wapi sahihi, heavy machines Ni kwa ajili ya mizigo mizito , sawa lakini likibeba light cargo linakuwabhaliwei stressed, Ni Kama linakuwa linatembea tupu tu , youll be rewarded na very lengthy service life
Sent
Tanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.Hapana wapi sahihi, heavy machines Ni kwa ajili ya mizigo mizito , sawa lakini likibeba light cargo linakuwabhaliwei stressed, Ni Kama linakuwa linatembea tupu tu , youll be rewarded na very lengthy service life
Sent
Mkuu naomba unipe elimu kuhusu Gearbox range change.Hapana wapi sahihi, heavy machines Ni kwa ajili ya mizigo mizito , sawa lakini likibeba light cargo linakuwabhaliwei stressed, Ni Kama linakuwa linatembea tupu tu , youll be rewarded na very lengthy service life
Sent
Kumbe haya mambo yana changamoto kiasi hiki?Wala swala sio kuwa Ni sheria za kale ,Tanroad wana sheria mpya tu za miaka Hadi ya 2017 na bado ni Tatizo
Dola 15000 kwa kutochepuka kuingia mzani ,hii ni ya mwaka juzi tu, na kuna mizani mingine haiko very well posted ,dereva mgeni anaweza asiione akapita bila kupima.
Dola 2000 kwa abnormal, Fuel drops ,e.tc hapo kwenye abnormal pana mambo sio kitoto, hasa kwenye upana, sometimes mzigo hasa wa vichanja unaweza ukayumba upande fulani na kutoa tumbo, hapo ni 2000 dola au vikao.
Ukiingia mzaji na air suspension iliyopasuka , Wana cancel exel yote na utapigiwa hesabu ya overload kwa exel zilizobaki ,
Ni Shida no wonder Zambia ana opt walvis bay port kwa mizigo ya Ulaya
Sent
Sawa linatembea kama lipo tupu ila vip fuel consumption yake sasa maana mi ninavyo jua kadri gar inavyokuwa na horsepower kubwa ndivyo na utumiaji wa mafuta unavyokuwa juu pia tofaut na yenye hp ndogoHapana wapi sahihi, heavy machines Ni kwa ajili ya mizigo mizito , sawa lakini likibeba light cargo linakuwabhaliwei stressed, Ni Kama linakuwa linatembea tupu tu , youll be rewarded na very lengthy service life
Sent
Horse za fuso, vw, isuzu, kamaz naishiaga kuziona mtandaoni tu, vip ama bei yake na spare ni tatizo?Tanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.
Kwa nguvu zinaweza kuzidi hata Tractor unit za mchina kama Bei Ben,Dayun na Dong Feng
Bongo nimeziona Chache Horse za Fuso,Isuzu na Nissan Diesel UD.Horse za fuso, vw, isuzu, kamaz naishiaga kuziona mtandaoni tu, vip ama bei yake na spare ni tatizo?
Tuna 580hp V8 scania , ulaji wake ukiendesha vizuri ni mzuri kushinda R420 au Man 440. Unachotqkiwa Ni ujue kutumia torque vizuri ! Baaas , ukisema utumie hizo 580 horse power shida ya ulaji itaanzia hapo.Sawa linatembea kama lipo tupu ila vip fuel consumption yake sasa maana mi ninavyo jua kadri gar inavyokuwa na horsepower kubwa ndivyo na utumiaji wa mafuta unavyokuwa juu pia tofaut na yenye hp ndogo
Tanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.
Kwa nguvu zinaweza kuzidi hata Tractor unit za mchina kama Bei Ben,Dayun na Dong Feng
Inategemea unaendeshaje , Mara nyingi ukiendesha vizuri utapata fuel figure nzuri , Ila ukiendesha kulifatisha uwezonl wake utalichukiaMatumizi ya wese je??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa kushika hayo majinaTanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.
Kwa nguvu zinaweza kuzidi hata Tractor unit za mchina kama Bei Ben,Dayun na Dong Feng
Mkuu Super great zipo zenye turbo charged na natural aspirated. Injini za inline 6 nilizoziona kwenye tipper na tandam zilikuwa na turbocharged na intercooler.Super great fuso Ni natural aspirated engines , kwa kuwa hazina turbo nyingi za hizo engine zina CC kubwa Sana Kuna ambazo zina Hadi cc20000, set back ya kwanza itakuwa kwenye tare weight Ni nzito Sana hizo engine...
Kawaida mkuu, ukikipenda kitu huwa unakishika automatically.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa kushika hayo majina
Super great ni nyingi sana mzee sema hazivuti trailer! Tena nyingi ni 8×4(mende) with 13l.Tanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.
Kwa nguvu zinaweza kuzidi hata Tractor unit za mchina kama Bei Ben,Dayun na Dong Feng
Mkuu Super great zipo zenye turbo charged na natural aspirated.
Injini za inline 6 nilizoziona kwenye tipper na tandam zilikuwa na turbocharged na intercooler.
Kuna horse ya Fuso Super Great nimewahi kuikuta Tunduma inavuta tela lililo na kontena.
Super great ina nguvu,ipo stable na inakimbia haswa hata ukiwa na mzigo.
Niliona kama hii ila nyuma ilikuwa na axle 2.Utakuwa unazungumzia very execpional cases siwezi kukupinga sababu ninaweza nisijue yote
Super great ilipendwa sababu ya ile mende pale mbele na wepesi wake , zimepotea sababu watu wakilinganisha gharama za kuliweka barabarani na ufanisi wake wanaona Ni bora kuwa na kitu kingine
Kwamba uliona fuso linavuta trela sijajua uliona fuso ipi
Sent
Kibongo bongo niliziona fuso za KT ABRI zinavuta 40ft.Mkuu Super great zipo zenye turbo charged na natural aspirated.
Injini za inline 6 nilizoziona kwenye tipper na tandam zilikuwa na turbocharged na intercooler.
Kuna horse ya Fuso Super Great nimewahi kuikuta Tunduma inavuta tela lililo na kontena.
Super great ina nguvu,ipo stable na inakimbia haswa hata ukiwa na mzigo.