Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Bongo sheria zimebana sana.

Ukitaka usisumbuane nao unaipeleka kule Kilombero ikavute matela ya kubeba miwa kule unaweza ukavuta hata tela 3.Na hakuna mzani gari inatoka shamba unaenda Kiwandani.
Hawachelewi kuleta ule mzani wa kuhamisha! Kuna mahali ilikuwa inasombwa dust na kokoto, watu walikuwa wanabeba hadi tani 60..

Haikuchukua round wakaleta mzani wa kuhamisha! Noma sana mzee
 
Hapana wapi sahihi, heavy machines Ni kwa ajili ya mizigo mizito , sawa lakini likibeba light cargo linakuwabhaliwei stressed, Ni Kama linakuwa linatembea tupu tu , youll be rewarded na very lengthy service life

Sent
Matumizi ya wese je??
 
Tanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.

Kwa nguvu zinaweza kuzidi hata Tractor unit za mchina kama Bei Ben,Dayun na Dong Feng
 
Mkuu naomba unipe elimu kuhusu Gearbox range change.
 
Wala swala sio kuwa Ni sheria za kale ,Tanroad wana sheria mpya tu za miaka Hadi ya 2017 na bado ni Tatizo
Dola 15000 kwa kutochepuka kuingia mzani ,hii ni ya mwaka juzi tu, na kuna mizani mingine haiko very well posted ,dereva mgeni anaweza asiione akapita bila kupima.

Dola 2000 kwa abnormal, Fuel drops ,e.tc hapo kwenye abnormal pana mambo sio kitoto, hasa kwenye upana, sometimes mzigo hasa wa vichanja unaweza ukayumba upande fulani na kutoa tumbo, hapo ni 2000 dola au vikao.

Ukiingia mzaji na air suspension iliyopasuka , Wana cancel exel yote na utapigiwa hesabu ya overload kwa exel zilizobaki ,
Ni Shida no wonder Zambia ana opt walvis bay port kwa mizigo ya Ulaya

Sent
Kumbe haya mambo yana changamoto kiasi hiki?
 
Hapana wapi sahihi, heavy machines Ni kwa ajili ya mizigo mizito , sawa lakini likibeba light cargo linakuwabhaliwei stressed, Ni Kama linakuwa linatembea tupu tu , youll be rewarded na very lengthy service life

Sent
Sawa linatembea kama lipo tupu ila vip fuel consumption yake sasa maana mi ninavyo jua kadri gar inavyokuwa na horsepower kubwa ndivyo na utumiaji wa mafuta unavyokuwa juu pia tofaut na yenye hp ndogo
 
Tanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.

Kwa nguvu zinaweza kuzidi hata Tractor unit za mchina kama Bei Ben,Dayun na Dong Feng
Horse za fuso, vw, isuzu, kamaz naishiaga kuziona mtandaoni tu, vip ama bei yake na spare ni tatizo?
 
Sawa linatembea kama lipo tupu ila vip fuel consumption yake sasa maana mi ninavyo jua kadri gar inavyokuwa na horsepower kubwa ndivyo na utumiaji wa mafuta unavyokuwa juu pia tofaut na yenye hp ndogo
Tuna 580hp V8 scania , ulaji wake ukiendesha vizuri ni mzuri kushinda R420 au Man 440. Unachotqkiwa Ni ujue kutumia torque vizuri ! Baaas , ukisema utumie hizo 580 horse power shida ya ulaji itaanzia hapo.

Sent
 
Tanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.

Kwa nguvu zinaweza kuzidi hata Tractor unit za mchina kama Bei Ben,Dayun na Dong Feng

Super great fuso Ni natural aspirated engines , kwa kuwa hazina turbo nyingi za hizo engine zina CC kubwa Sana Kuna ambazo zina Hadi cc20000, set back ya kwanza itakuwa kwenye tare weight Ni nzito Sana hizo engine.

Natural aspirated diesel engines huwa zina abundance of power katika revs za mwanzo tu , kwa hiyo ni nzuri Sana kwa baadhi ya matumizi Kama tipper works au sites , ukiingiza barabarani na kuvuta trailer rasmi , tayari inakuwa nje ya fuel economy.

Kingine Gari za Japan hasa hayo mafuso yanatumia hydraulic brake system ili uvute trailer inabidi uwe na pneumatic brake layout, ndio sababu hata Fuso zinaishiia kuwa Tandem tu, hata hivyo India wamejaribu kuviweka yao semi kwa system za pneumatics na turbocharger, lakini they are seriously underpowered na sidhani Kama zina maisha marefu.

Sent
 
Matumizi ya wese je??
Inategemea unaendeshaje , Mara nyingi ukiendesha vizuri utapata fuel figure nzuri , Ila ukiendesha kulifatisha uwezonl wake utalichukia

Sent
 
Tanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.

Kwa nguvu zinaweza kuzidi hata Tractor unit za mchina kama Bei Ben,Dayun na Dong Feng
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa kushika hayo majina
 
Super great fuso Ni natural aspirated engines , kwa kuwa hazina turbo nyingi za hizo engine zina CC kubwa Sana Kuna ambazo zina Hadi cc20000, set back ya kwanza itakuwa kwenye tare weight Ni nzito Sana hizo engine...
Mkuu Super great zipo zenye turbo charged na natural aspirated. Injini za inline 6 nilizoziona kwenye tipper na tandam zilikuwa na turbocharged na intercooler.

Kuna horse ya Fuso Super Great nimewahi kuikuta Tunduma inavuta tela lililo na kontena.

Super great ina nguvu,ipo stable na inakimbia haswa hata ukiwa na mzigo.
 
Tanzania kwenye mizigo ya kati Mitsubishi Fuso imefanya vizuri kwa kipindi kirefu. Kwanini wamiliki wengi wa maroli hawatumii Horse(Tractor Unit) za Mitsubishi Fuso Super Great.

Kwa nguvu zinaweza kuzidi hata Tractor unit za mchina kama Bei Ben,Dayun na Dong Feng
Super great ni nyingi sana mzee sema hazivuti trailer! Tena nyingi ni 8×4(mende) with 13l.
 
Mkuu Super great zipo zenye turbo charged na natural aspirated.
Injini za inline 6 nilizoziona kwenye tipper na tandam zilikuwa na turbocharged na intercooler.

Kuna horse ya Fuso Super Great nimewahi kuikuta Tunduma inavuta tela lililo na kontena.

Super great ina nguvu,ipo stable na inakimbia haswa hata ukiwa na mzigo.

Utakuwa unazungumzia very execpional cases siwezi kukupinga sababu ninaweza nisijue yote Super great ilipendwa sababu ya ile mende pale mbele na wepesi wake , zimepotea sababu watu wakilinganisha gharama za kuliweka barabarani na ufanisi wake wanaona Ni bora kuwa na kitu kingine

Kwamba uliona fuso linavuta trela sijajua uliona fuso ipi

Sent
 
Utakuwa unazungumzia very execpional cases siwezi kukupinga sababu ninaweza nisijue yote
Super great ilipendwa sababu ya ile mende pale mbele na wepesi wake , zimepotea sababu watu wakilinganisha gharama za kuliweka barabarani na ufanisi wake wanaona Ni bora kuwa na kitu kingine

Kwamba uliona fuso linavuta trela sijajua uliona fuso ipi

Sent
Niliona kama hii ila nyuma ilikuwa na axle 2.

download (1).jpeg
 
Mkuu Super great zipo zenye turbo charged na natural aspirated.
Injini za inline 6 nilizoziona kwenye tipper na tandam zilikuwa na turbocharged na intercooler.

Kuna horse ya Fuso Super Great nimewahi kuikuta Tunduma inavuta tela lililo na kontena.

Super great ina nguvu,ipo stable na inakimbia haswa hata ukiwa na mzigo.
Kibongo bongo niliziona fuso za KT ABRI zinavuta 40ft.

Sio super great, ni TV series zile! Sio comfortable, mwendo ni wa kawaida sana maana ni 380hp.. level zao ni akina TATA novus/daewoo!
 
Back
Top Bottom