Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Majinja kumbe wako vyema, najuaga ana gari 4 kumbe anazo 22
 
Majinja kumbe wako vyema, najuaga ana gari 4 kumbe anazo 22
Hii itakuwa kweli
Mfano Kyela stendi naonaga bus linalotoka Dar likifika linapumzika siku 1
Yangekuwa ni ma4 isingewezekana
 
Hili suala wengi hawalijui....scania hatengenezi body...ye ana deal na engine na chases yake tu.

Watengeneza mabody ni hao Marcopolo, Dar Coach na wengineo.
Kuna Scania touring ambayo imeundwa in cooperation with Higer.
 
🤣🤣🤣
 
Na leo imetokea dar, kuja kushtuka Iringa inamwaga oil.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…