mwaki pesile
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 340
- 487
unapanda DTR ila mwisho wa safari APN imewaacheni saa nzima.... uko sahihi. Probability ya gari T 605 DTR kugombaniwa na abiria ni kubwa kuliko T 605 BXY hilo halina ubishi regardless of brand!
Abood hizo yutong kaziweka ruti fupi fupiNimeingia stand ya mkoa Ubungo last week nikaona Abood amepanga YUTONG kama nane hivi, mchanganyiko wa single na double axle, sasa sijui Abood nae hajui biashara ya magari?...
VTS haizuii gari kukimbiaNdio yamefungwa vts lakini shughuli inaanzia mikumi ambapo ndio vilima huanza maana gari za kichina kwenye kupanda sio kivile
Hii sio gemilang ni tourismoHii Ni gemilang body original, Botwana Kuna wababe wanazo hizo , sio hizi huku za Ava tunazodanganyana za akina sauli . moja ya sifa za gemilang Ni kioo kimoja Cha mbele na wiper zinazotazamana
Sent
Kwaio sauli kashindwa kupata og za neo bus kaamua aweke zenye lebel ya golden dragonGolden dragon ndiyo wamekopi design ya taa kwa neobus.
je hayo makampuni yenye michina pure yamefikisha muda gani kwa gari hizo hizo bila kubadili injini wala kuyauza?Umeongea kishabiki na sio kibiashara. Kibiashara Scania hailipi kama Yutong maana yana bei kubwa sana mara mbili ya Yutong. Ndio maana unaona kampuni nyingi zili-opt kwenda kwa mchina ili ziingize pesa Zaidi. Ukiangalia kishabiki shabiki utaona Scania ni bora ila kama wewe ni mfanyabiashara mchina ana faida
hata SCANIA zipo hivyo hivyoWewe acha hizo mambo je unajua benz ziko za aina nyingi ujue kuna za safari ndefu na safari fupi sasa wewe nenda kanunue benz atego usipokuja hapa kulalamika kwamba benz haidumu.katika gari jiwe hamna kama benz na katika gari legelege hamna kama volvo
Kama umegundua, hizi speed limit huwa zinasoma tofauti kulingana na aina ya mabasi, sijui chanzo ni nini ila scania kupiga alarm unakuta ipo 86 kph au mengine hadi 89 ndo yanapiga alarmUnataka kusema nini? Mabasi yote yamefungwa speed limit, barabarani Kuna touch, huo mwendo Ni upi? Issue kubwa hapo Ni unafuu wa manunuzi na uendeshaji wa mabasi ya kichina basi
yap zile CAIOAliuziwa NBS kama sijakosea na bado zipo!
yap zile CAIOAliuziwa NBS kama sijakosea na bado zipo!
yap zile CAIOAliuziwa NBS kama sijakosea na bado zipo!
Yapyap zile CAIO
Soma trucknet forums , uone Benz inavyolalamikiwa , Cha kwanza kabisa ni powerless , sio comfortable,banz ni bora kuliko scania
gharama za kuligharamia benz katika service ni kubwa kuliko scania
scania waliteka soko kwakua walileta na vipuri kwa wingi
Nashukuru kwa mashahihisho niliangalia kioo peke yake nikapotokaHii sio gemilang ni tourismo
Kiduku , unaifahamu habari ya Volvo? Kwamba ni lege lege 750 hp@3550Nm torque?Wewe acha hizo mambo je unajua benz ziko za aina nyingi ujue kuna za safari ndefu na safari fupi sasa wewe nenda kanunue benz atego usipokuja hapa kulalamika kwamba benz haidumu.katika gari jiwe hamna kama benz na katika gari legelege hamna kama volvo
Kutokana na kuwa na high torque ya 3550Nm na 750HP ni wazi katika ku climb milima ina better perfomance mkuu? Au pia itagemeana na power train yake?Kiduku , unaifahamu habari ya Volvo? Kwamba ni lege lege 750 hp@3550Nm torque?
Unafahamu the latest Mercedes 2020, 1863 ambayo ndio the top specs Ina Power rating za scania R620 ambayo ipo barabarami toka 2008?
Kukusaidia tu Merc 2020 , 1863 mirror less Ina 630 go na torque ya 3000Nm
Scania R620 V8 ya 2008 Ina 620 Hp @2900Nm
Merc zilikuwa ni na zitabaki kuwa gari popular lakini haimaanishi kuwa ni gari bora.
Ile gari imekuja na taa zake original na pia haijawahi kugongwa kiasi kwamba ikahitaji kufanyiwa replacement ya taa.Kwaio sauli kashindwa kupata og za neo bus kaamua aweke zenye lebel ya golden dragon