Torque ndio Kila kitu kwenye haulage industry, their more you have on wheels the top on the road you become, power ni mbwembwe tu , hutumii 750hp kubeba tani 30 unless uwe unataka kuwakoga watu tu, 3550Nm ya Volvo inapatikana katika 1100rpm , swedish low rev philosophy at its best.Kutokana na kuwa na high torque ya 3550Nm na 750HP ni wazi katika ku climb milima ina better perfomance mkuu? Au pia itagemeana na power train yake?
mkuu hebu elezea hii kidogoVTS kwa sasa LARTA wamezuiwa na mahakama wasiatoe adhabu kwa madereva wala wamiliki hadi kesi ya msingi ikiisha na itategemeana na maamuzi ya mahakama.madereva walifungua kesi kuipinda VTS
Umeongea kishabiki na sio kibiashara. Kibiashara Scania hailipi kama Yutong maana yana bei kubwa sana mara mbili ya Yutong. Ndio maana unaona kampuni nyingi zili-opt kwenda kwa mchina ili ziingize pesa Zaidi. Ukiangalia kishabiki shabiki utaona Scania ni bora ila kama wewe ni mfanyabiashara mchina ana faida
Bty ni gari amabyo ipo barabarami karibu Miaka kumi ikiingiza revenue .Wengi ni mashabiki tu hawajui biashara hii wanashinda stand mfano majinja BTY na Frester DPP zote zitoke na abiria sawa bukoba bus ya mchina anapata faida zaidi kuliko Majinja kutokana na gharama za uendeshaji kutofautina mchina fuel consumption ni ndogo.
Bty ni gari amabyo ipo barabarami karibu Miaka kumi ikiingiza revenue .
Gari ya kichina haina maisha hayo
Umeniona Zwazwa kwa kiasi kipi?Pamoja na maelezo yote hapo bahati mbaya akili yako bado haijaelewa nilichoandika
Mzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigoWengi ni mashabiki tu hawajui biashara hii wanashinda stand mfano majinja BTY na Frester DPP zote zitoke na abiria sawa bukoba bus ya mchina anapata faida zaidi kuliko Majinja kutokana na gharama za uendeshaji kutofautina mchina fuel consumption ni ndogo.
Kuna watu wanafhani biashara ya gari ni calculator tu.Mzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigo
Scania atanunua bei juu, ila hiyo bus hata miaka 20 ataitumia na zaidi
mchina bei ndogo ila miaka 3 bus haifai, atambidi anunue nyingine, nani anafaidi hapo?
Mzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigo...
Umeniona Zwazwa kwa kiasi kipi?
Wewe umetoa mfano wa basi ya frester Dpp na majinja Bty...
BM , Abood Shabiby ni very exeptional linapokuja swala la.kumiliki gari za kichina infact wao hata siwezi kuwaweka katika makundi ya wanaopata hasara na basi za kichina , wanabebwa na business location zao.Sawa umeeleweka na una point nikiri una knowledge khs haya mabasi nachojaribu kueleza bus za kichina ni usimamizi tu kampuni km BM inazidi kukua kila siku licha ya kutumia bus za kichina tu to me chines buses ni more profitable inshort term plan
Kwani hiyo gari ilianzia kufanya kazi ikiwa imeezeka, kuna ilipo anzia ingiza pesa na ndio sehemu unayotakiwa upige hesabu.. Mchina namba C barabarani huko hukuti hata mojaUko na shida scania kukuu km ile na mchina fuel consumption iwe sawa?pili GVM ya hizo gari ni tofauti mchina ni light weight hvyo lzm ipakie mzigo zaidi ya BTY usiongee kishabiki fanya research
kwa sasa imepachikwa za dragonIle gari imekuja na taa zake original na pia haijawahi kugongwa kiasi kwamba ikahitaji kufanyiwa replacement ya taa.
Sent from my MAR-LX1M using JamiiForums mobile app
Kwa ushauri wanguUti mtamu sana huu,nipo nafuatilia toka mwanzo napata madini sana,Kuna watu humu ni wataalamu sana,Salute kwenu.
Nina swali kidogo.Assume nina initial capital ya Tzs 1 Billion.kwa hela hiyo naweza pata Scania Bus ngapi hadi naziweka barabarani??.
N.B sio Scania Bus original,Ni hizi zilizopo huku kwetu ila quality ya juu.
Basi zote ulizopost hapo ni Body ya irrizar, Scania K series .Hvi buses kama hz n bei gani kwa pesa zetu za kibongo maana nimeona wenzetu wanapamba sana hapo LUSAKAView attachment 1563885View attachment 1563886View attachment 1563887View attachment 1563888
Okay na ndiyo napata na jibu sahihi kwanini Diesel engines ni most suitable choice ku bare heavy loads than Gasoline ones. (TORQUE)..Torque ndio Kila kitu kwenye haulage industry, their more you have on wheels the top on the road you become, power ni mbwembwe tu , hutumii 750hp kubeba tani 30 unless uwe unataka kuwakoga watu tu, 3550Nm ya Volvo inapatikana katika 1100rpm , swedish low rev philosophy at its best.
Kwani hiyo gari ilianzia kufanya kazi ikiwa imeezeka, kuna ilipo anzia ingiza pesa na ndio sehemu unayotakiwa upige hesabu.. Mchina namba C barabarani huko hukuti hata moja
Bty ni gari amabyo ipo barabarami karibu Miaka kumi ikiingiza revenue .
Gari ya kichina haina maisha hayo