Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Kutokana na kuwa na high torque ya 3550Nm na 750HP ni wazi katika ku climb milima ina better perfomance mkuu? Au pia itagemeana na power train yake?
Torque ndio Kila kitu kwenye haulage industry, their more you have on wheels the top on the road you become, power ni mbwembwe tu , hutumii 750hp kubeba tani 30 unless uwe unataka kuwakoga watu tu, 3550Nm ya Volvo inapatikana katika 1100rpm , swedish low rev philosophy at its best.
 
VTS kwa sasa LARTA wamezuiwa na mahakama wasiatoe adhabu kwa madereva wala wamiliki hadi kesi ya msingi ikiisha na itategemeana na maamuzi ya mahakama.madereva walifungua kesi kuipinda VTS
mkuu hebu elezea hii kidogo
 
Umeongea kishabiki na sio kibiashara. Kibiashara Scania hailipi kama Yutong maana yana bei kubwa sana mara mbili ya Yutong. Ndio maana unaona kampuni nyingi zili-opt kwenda kwa mchina ili ziingize pesa Zaidi. Ukiangalia kishabiki shabiki utaona Scania ni bora ila kama wewe ni mfanyabiashara mchina ana faida

Wengi ni mashabiki tu hawajui biashara hii wanashinda stand mfano majinja BTY na Frester DPP zote zitoke na abiria sawa bukoba bus ya mchina anapata faida zaidi kuliko Majinja kutokana na gharama za uendeshaji kutofautina mchina fuel consumption ni ndogo.
 
Bty ni gari amabyo ipo barabarami karibu Miaka kumi ikiingiza revenue .
Gari ya kichina haina maisha hayo
 
Bty ni gari amabyo ipo barabarami karibu Miaka kumi ikiingiza revenue .
Gari ya kichina haina maisha hayo

Pamoja na maelezo yote hapo bahati mbaya akili yako bado haijaelewa nilichoandika
 
Hvi buses kama hz n bei gani kwa pesa zetu za kibongo maana nimeona wenzetu wanapamba sana hapo LUSAKA
Capture%2B_2020-09-08-21-43-13.jpeg
Capture%2B_2020-09-08-21-44-14.jpeg
Capture%2B_2020-09-08-21-45-49.jpeg
Capture%2B_2020-09-08-21-42-41.jpeg
 
Pamoja na maelezo yote hapo bahati mbaya akili yako bado haijaelewa nilichoandika
Umeniona Zwazwa kwa kiasi kipi?
Wewe umetoa mfano wa basi ya frester Dpp na majinja Bty,

Hizi ni gari mbili tofauti kabisa , moja ni mpya ya kichina ambayo kwa maelezo yako itarudisha pesa mapema kutokana na upya wake,, ya pili ni scania mtumba wa ku ungaunga .but Zongtong mpya ni ghali kuliko hiyo majinja maana jamaa anaungaunga sana scania zake na zinaingia barabarami at very minimal costs.

Mfano wako ungekuwa Safi Kama ungelinganisha gari zinazofanana upya labda Zongtong mpya na scania mpya 95 ,
 
Wengi ni mashabiki tu hawajui biashara hii wanashinda stand mfano majinja BTY na Frester DPP zote zitoke na abiria sawa bukoba bus ya mchina anapata faida zaidi kuliko Majinja kutokana na gharama za uendeshaji kutofautina mchina fuel consumption ni ndogo.
Mzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigo

Scania atanunua bei juu, ila hiyo bus hata miaka 20 ataitumia na zaidi

mchina bei ndogo ila miaka 3 bus haifai, atambidi anunue nyingine, nani anafaidi hapo?
 
Kuna watu wanafhani biashara ya gari ni calculator tu.

Hiyo frester Dpp ilimilikiwa na New force ikiwa mpya , then akaiuza kwa huyo frester , infact frester amenunua zaidi ya gari 10 kutoka New force , basi mpya kwake ni chache sana.
 
Mzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigo...

Uko na shida scania kukuu km ile na mchina fuel consumption iwe sawa?pili GVM ya hizo gari ni tofauti mchina ni light weight hvyo lzm ipakie mzigo zaidi ya BTY usiongee kishabiki fanya research
 
Umeniona Zwazwa kwa kiasi kipi?
Wewe umetoa mfano wa basi ya frester Dpp na majinja Bty...

Sawa umeeleweka na una point nikiri una knowledge khs haya mabasi nachojaribu kueleza bus za kichina ni usimamizi tu kampuni km BM inazidi kukua kila siku licha ya kutumia bus za kichina tu to me chines buses ni more profitable inshort term plan
 
BM , Abood Shabiby ni very exeptional linapokuja swala la.kumiliki gari za kichina infact wao hata siwezi kuwaweka katika makundi ya wanaopata hasara na basi za kichina , wanabebwa na business location zao.

Hata newbie. Anaweza akatia gari za kichina Dar Moro na qtq pick up bila tatizo , shida ni kuwa route hiyo Abood na Bm hawapo tayari kuona competition .na wamejipanga haswa.

Ila kwa safari za mbali Kama bukoba songea mbeya nk, mchina hatambi, matajiri wengi wamedefault na mikopo ya benki , wengine Wana survive na top up za mikopo inayosogeza tu siku za kudefault . Kuna basi za kichina jamaa nazifahamu ni namba DTA.. zipo down, engine. imagine that scenario
 
Uko na shida scania kukuu km ile na mchina fuel consumption iwe sawa?pili GVM ya hizo gari ni tofauti mchina ni light weight hvyo lzm ipakie mzigo zaidi ya BTY usiongee kishabiki fanya research
Kwani hiyo gari ilianzia kufanya kazi ikiwa imeezeka, kuna ilipo anzia ingiza pesa na ndio sehemu unayotakiwa upige hesabu.. Mchina namba C barabarani huko hukuti hata moja
 
Uti mtamu sana huu,nipo nafuatilia toka mwanzo napata madini sana,Kuna watu humu ni wataalamu sana,Salute kwenu.

Nina swali kidogo.Assume nina initial capital ya Tzs 1 Billion.kwa hela hiyo naweza pata Scania Bus ngapi hadi naziweka barabarani?
N.B sio Scania Bus original,Ni hizi zilizopo huku kwetu ila quality ya juu.
 
Uti mtamu sana huu,nipo nafuatilia toka mwanzo napata madini sana,Kuna watu humu ni wataalamu sana,Salute kwenu.
Nina swali kidogo.Assume nina initial capital ya Tzs 1 Billion.kwa hela hiyo naweza pata Scania Bus ngapi hadi naziweka barabarani??.
N.B sio Scania Bus original,Ni hizi zilizopo huku kwetu ila quality ya juu.
Kwa ushauri wangu

Nunua mchina used kwa mtu, usizidi mil 90.. shusha mashine na accessories zake tia scania humo, you are good to go
 
Torque ndio Kila kitu kwenye haulage industry, their more you have on wheels the top on the road you become, power ni mbwembwe tu , hutumii 750hp kubeba tani 30 unless uwe unataka kuwakoga watu tu, 3550Nm ya Volvo inapatikana katika 1100rpm , swedish low rev philosophy at its best.
Okay na ndiyo napata na jibu sahihi kwanini Diesel engines ni most suitable choice ku bare heavy loads than Gasoline ones. (TORQUE)..
 
Unaijua kitumbo CVL ya Dar Tabora
Lile ni Tong!
Kwani hiyo gari ilianzia kufanya kazi ikiwa imeezeka, kuna ilipo anzia ingiza pesa na ndio sehemu unayotakiwa upige hesabu.. Mchina namba C barabarani huko hukuti hata moja
 
Ni kweli mara ya kwanza si ilikua lori ?

Ni kama BUL utawadanganya watu lina miaka 10

Wakati limefyatuliwa alina hata miaka 3

Wamenunua plate number na kuvisha bodi.
Bty ni gari amabyo ipo barabarami karibu Miaka kumi ikiingiza revenue .
Gari ya kichina haina maisha hayo
 
Back
Top Bottom