Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Milima, nunuwa siku moja Scania na Youtong, zianze kazi siku moja route hiyo halafu tuzikaguwe hizo gari after 2 years.Dar Songea
Zimejaa Yutong, Zhongtong, Sunlong kibao tu
Kwa maoni yako hiyo route ina shida gani?
Speed limit, kuna time flame kwa kila route expected arrival time.Kwann tunarud nyuma sasa badala ya kwenda mbele? Nilidhan baada ya miundombinu kua bora mambo yangekua bora zaid
Umeona eeehe. Sisi wengine tunabaki ushabiki tu wakati walioko kwenye game wanasanda kwa mchina.Mpaka mbishi dar express kadaka Zhongtong Climber[emoji38][emoji38][emoji38]
Sio swali nililo ulizaSpeed limit, kuna time flame kwa kila route expected arrival time.
Tunarudi nyuma kwenye usahihi, mwanzo hatukuthamini roho za watu.Sio swali nililo uliza
Nimeuliza kwann tunarud nyuma .. speed limit hapo n tayar usharud nyuma , kwann kuwe na speed limit? Labda niweke swali hivyo
So hao wenzetu ambao wanajitahid kuja na suluhisho mbadala muda wa kukaa barabaran uzid kupungua wao ndio wanapotea zaid au? Kwamba hawajali roho za watu??Tunarudi nyuma kwenye usahihi, mwanzo hatukuthamini roho za watu.
Hakuna kitu kisichoendeshwa kwa regulations.
Hata gari yako binafsi sijui Prado au IST kuna mwongozo wa speed barabarani, kuna sehemu utaoneshwa speed 30, sehemu nyingine 50 na sehemu iko clear unaachiwa free ujiuwe mwenyewe.
Unaruhusiwa kuongea hisia zako ila uhalisia haupo hivyo.So hao wenzetu ambao wanajitahid kuja na suluhisho mbadala muda wa kukaa barabaran uzid kupungua wao ndio wanapotea zaid au? Kwamba hawajali roho za watu??
Tuna akili za ajabu sisi , hakuna mwezi unapita bus haijalamba chini au kuua watu hapa nchini,
Tatizo halikimbiwi , tatizo linatatuliwa, kuweka ratiba sijui nn huko n kukimbia tatizo , weka miundombinu sahihi watu wapepee
Enzi hizo waliweza fika saa nane Mbeya na wala hakukua na tatizo lolote na miundombinu ilikua mibovu kuliko sasa
Hakuna uhusiano na ulicho andika hapaUnaruhusiwa kuongea hisia zako ila uhalisia haupo hivyo.
Wakati Wajerumani wanatangaza zawadi kwa atakayeweza kupinduwa Mercedes benz 500cc haikuwa na maana hiyo gari haiwezi kupinduka kabisa, lakini kama utaendesha kama gari inavyotakiwa kuendesha huwezi kupinduka na gari hiyo.
Siku moja panda gari zinazopeleka magazeti mikoani ndio utaleta ushuhuda hapa.
Malizia na RwandaHakuna uhusiano na ulicho andika hapa
Dunia inaenda speed, hakuna taifa linazorudi kwenye miaka ya 80 huko, ni sisi tu
Kwasababu wakubwa wameviweka haimaanishi kua ni sahihi, kwasababu serikal imepitisha kitu haimaniishi kua ni sahihi
Sio sawa 2021 et gari itembee speed km 50 kwa saa ,
Regulations zipo dunia nzima, kwann basi nao wasorud nyuma?
Elimu, ufahamu na uelewa wa mambo unavyokua hatupaswi kupingana nao kwa kurud nyuma , tujielishe tuelimike tusonge mbele, tutumie technology kwa manufaa , turahisishe mambo ni sio ku complicate
Dunia nzima ni nchi tatu tu zina hizi speed za konokono alafu zote Masikini
Tanzania
Vietnam
Macau
Na wastan wa dunia hizi highway/express way/ motorways ni speed 110 , Huo ni wastan wa dunia
Karibu 85% ya mataifa dunia wana 100 hadi 130
Tumewekea speed 50 mwisho 85 , sawa.. lakn haiko sahihi
Malizia na Rwanda
MkuuTunarudi nyuma kwenye usahihi, mwanzo hatukuthamini roho za watu.
Hakuna kitu kisichoendeshwa kwa regulations.
Hata gari yako binafsi sijui Prado au IST kuna mwongozo wa speed barabarani, kuna sehemu utaoneshwa speed 30, sehemu nyingine 50 na sehemu iko clear unaachiwa free ujiuwe mwenyewe.
Highway? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rwanda speed limit ni 40 km/h
Highway mkuu kuna vipande vichache sana ndo unakuta 60km/h hasa ukiwa unaenda bugarama , rusizi , lakini naeza kusema karibu rwanda yote limit ni 40km/hHighway? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isamilo imeua, Ally's imedondoka, JMC uso kwa uso.. ni vile hazipei airtime tuMkuu
Mimi ni moja ya watu wanaoamini kuwa hatukutakiwa kuchukua route ya speed limit kuzuia ajali .tulitakiwa tuboreshe miundombinu kuzuia ajali.
Tuna tatizo kubwa la miundombinu bahati mbaya hili lipo mikononi mwa serikali na kama kawaida katika kutuzuga wanatupa input nyingine na kutupoteza maboya wananchi .
Speed limit kwa sasa zinakinzana serikali inasema limit ni 80km/h latra wao limit ni 85km/h south africa basi ipo limited to100km/h
Ajali za basi bado zipo nyingi tu na zinaua watu sana , shida ni kuwa hazipewi airtime kama zamani, juzi tu hapa isamilo imetoka kuua , kwa waliopita barabara ya iringa dodoma hivi karibuni huwezi kushangaa ajali kama ile kutokea maeneo kama yale , barqbara. Ni mbovu kupindukia licha ya kuwa bado ni mpya tu
Chukukulia kipande kama chalinze to mlandizi, pale hata uweke speed limit ya 40km/h bado ajali zitatokea na kuua watu,
Haloo, huko hapafai .. i think mtu wa baiskel anaenda sawa na gariHighway mkuu kuna vipande vichache sana ndo unakuta 60km/h hasa ukiwa unaenda bugarama , rusizi , lakini naeza kusema karibu rwanda yote limit ni 40km/h
Isamilo imeua, Ally's imedondoka, JMC uso kwa uso.. ni vile hazipei airtime tu
Fuso ndio zinachinja balaa , huko kwenye ma group ya fuso WhatsApp hua ni misiba daily
Mkuu mi wa kitambo enzi za kwacha,nyota,miyuji,kabwe na mbeya,Iringa na Dar nimekaa sana tu ukisema isuzu haikuwa na mwendo si kweli kuna basi za lucky star,matema beach(mv utelezi)meridian(akikua ataacha au ni utoto tu zilikuwa balaa ukiipita mlimani tegemea kuachwa tambarare kuhusu tawaqal inawezekana sikuiona maana hata matema alikuwa nayo moja lkn ilikuwa maarufu balaa.Inawezekana najibushana na mtu wa enzi hizi
Tawaqal amewahi kuwa na isuzu , na nimepanda basi hiyo mara kadhaa, nakumbuka nilikuwa siipendi kwa sababu haikuwa na mwendo ilikuwa inafika dar kwa kuchelewa saa tisa alasiri, kama sikosei namba TZJ 7110,
Enzi hizo Masia bus inaingia mnazi mmoja saa nane alasiri kutokea mbeya .
Haha kwa hizo basi unazotaja we kweli mzee mwenzanguMkuu mi wa kitambo enzi za kwacha,nyota,miyuji,kabwe na mbeya,Iringa na Dar nimekaa sana tu ukisema isuzu haikuwa na mwendo si kweli kuna basi za lucky star,matema beach(mv utelezi)meridian(akikua ataacha au ni utoto tu zilikuwa balaa ukiipita mlimani tegemea kuachwa tambarare kuhusu tawaqal inawezekana sikuiona maana hata matema alikuwa nayo moja lkn ilikuwa maarufu balaa.
Angalau Isuzu kidogo ila nissan diesel mlimani zilikuwa zinakera sana.Haha kwa hizo basi unazotaja we kweli mzee mwenzangu
Isuzu si kwamba haikua na mwendo , bali haikuwa na ule mwendo sisi wanazi tulikua tunaupenda !! Isuzu za mbeya zilikuwa zinaingia mnazi mmoja na basi la Embakassy!! One of the weakest link kwa miaka hiyo , hii ilikuwa inaudhi sana
Thanks tough kwa kumbukumbu murua
Aiseee!Ile ya isamilo juzi nimeshudhudia , na media zimeripoti tofauti na uhalisia
Kuna lori ilianguka kabla ya ajali , ile lori aliyoigonga isamilo ilikuwa imesimama na jamaa walukuwa wanawasaidia wenzao waliopata ajali ya kuchochora , isamilo imekuja kugonga lori liliosimama .