Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Milima, nunuwa siku moja Scania na Youtong, zianze kazi siku moja route hiyo halafu tuzikaguwe hizo gari after 2 years.Dar Songea
Zimejaa Yutong, Zhongtong, Sunlong kibao tu
Kwa maoni yako hiyo route ina shida gani?
Kuna kitu mnachanganya, hata bajaji inao uwezo wa kwenda Dar Songea ila kwa miaka mingapi na je bado hiyo bajaji itakuwa tena bajaj au screpa?