kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Tubishane kwa facts sio history, sikatai Daimler zina mazuri yake , mfano fuel consumption, diff za uhakika etc , Ila usisifie nguvu kwa Benz, usisifie uimara pia , nipo kwenye kazi ambayo ni too demanding, Germany dogs Man na Mercedes they just don't last.
Na nina mifano hai
Sent
Sawa ila haiko kihivyo, niko na evidence nyingi na niliwahi hata kupost hapa.Vts bado zipo mkuu usidanganyike na story za kahawa kila kukicha watu wanafungiwa huko
Ingawa kucheat nako kupo
Kama wanakula hasara mbona wanaendelea kuziagiza? Si tungeona wananunua scania zinazowapa faida..Afadhali unisaidie , Mana Kuna watu wamekariri Benz na sidhan wanajua mapungufu yake , wanyaruanda wanakula hasara za kutosha songea kwenye Actross na gari bado mpya kabisa
Sent
Hapo hapo ungefanya utafiti kujua zinaenda wapi. Gari nyingi za abood hasa yutong hazipeleki kwenye milima na route ndefu. Mfano zinazokuja mbeya from dar zote ni marcopoloNimeingia stand ya mkoa Ubungo last week nikaona Abood amepanga YUTONG kama nane hivi, mchanganyiko wa single na double axle, sasa sijui Abood nae hajui biashara ya magari??
Halafu nikisikia mtu mzima anaongelea sifa ya spidi ya gari nakuona bado hujakomaa, bado infantile...
Vyombo vya biashara , basi, treni, ndege, tanker la mafuta, meli, vinaenda na ratiba iliyopangwa kibiashara na kiserikali, sio kwa sababu havina mbio. Sasa basi la Dar Bukoba likiwahi kufika leo leo ndio litageuza leo, leo jioni??? Litaondoka na mteja usiku??
Man TGA ni ya 2001 sawa tu na scania 124 ,Hauko fair kwenye kulinganisha , ndo Mana unapata jibu unalolipenda , ukitaka kulinganisha utamu wa chungwa la muheza linganisha na chungwa la pwani , usilinganishe na nanasi la kiwangwa!
Man 440 ilinganishe na scania 440, halafu let's mrejesho, man euro 5 linganisha na scania euro 5 scania 124 ukiingia sokoni miaka ya 1996 , sio fair kuipambanisha na man za 2015....
Kuna scania ya Capricorn ya Bunda Kigoma aisee inachanaga tope kama inapanda mfugale flyoverKuna Mabasi sijui yana injini za treni nakumbuka siku moja tunatoka dar tunaenda mbeya tukakuta jam zito lililokuwa linaanzia kwa msuguri mpaka maili moja ikabidi tupite njia ya tegeta totokee kibaha mbele zaidi ya maili moja.
Kabla ya kuibukia barabara kuu kibaha kuna sehemu tulikuta barabara inatengenezwa ipo katika hali vumbi na mvua ilinyesha asubuhi ile kukawa na utelezi ile barabara pia ina kilima kikali Mabasi yakawa yanaserereka likiwemo Marco polo letu.
Mara nikaona basi moja Scania jeupe hivi likiwa linapanda kile kilima kama hamna matope nikashangaa sana maana Mabasi yalikuwa yako kwenye fulani ya kuserereka lenyewe likawa linatuovertake tu.
Isanga , safari nyingibza south kuja dar zinaanzia jhb, , jhb kwenda boarder yoyote ya kuja dar hakuna km 1000, Boader ni lazima utapoteza muda na truck itarelax, kutoka jhb Hadi dar hakuna namna truck itaamaliza km 1000 non stop ,ndio sababu mimekwambia hiyo ni safari rahisi sababu Ina vituo vingiMkuu Tbij Mkuu unajua unachokiongea kutoka Cape Town mpaka JHB ni 1500 Km na kutoka JHB mpaka Lusaka ni 1500 Lusaka mpaka Tunduma 1100 ufananishe na safari za ndani kweli au Mimi sijawahi pata matatizo na gari nanunua huku nikiitumia kic...
Scania 124 ilianza miaka ya 1997,Man TGA ni ya 2001 sawa tu na scania 124 ,
Man TGs zimeanzia 2008 sawa tu na R420 za 2006-9.. comparison yake iko sahihi!
Halafu kupanda kitonga na high range gears siyo hoja kwa gari isiyo na tatizo ukizingatia mzigo si zaidi ya tani 32.
Hapo saranda kuna scania zinapanda na crowler wakati huo temperature inavuka 100
Mkuu kwanza tuzo hazimaanishi kuwa kitu Ni imara Humaanisha kitu Ni popular tu.Kama wanakula hasara mbona wanaendelea kuziagiza? Si tungeona wananunua scania zinazowapa faida..
Mkuu nilishakwambia gari ni matunzo tu kuanzia maintainance mpaka driver..
Hizi gari ili ziqualify kushindania tuzo, ni lazima watu wazitumie mwaka mzima ndiyo waje na feedback!Mkuu kwanza tuzo hazimaanishi kuwa kitu Ni imara Humaanisha kitu Ni popular tu.
Cummins N14 iliwahi kuchukua tuzo ya worlds longest serving diesel engine, uliza watu wa temesa engine gani zinawaumiza vichwa kwa ubovu kwenye genset na vivuko,utaambiwa ni hizo hizo Cummins
Sent
Sehemu ambayo mchina anapanda na speed 70 lakini scania ya Mzee Kabungo yaani majinja anapanda na 75 sasa hapo hufikirii tu kuwa wapo ndani ya limit ya speed ila mmoja na power?! Kifupi ni kwamba route zenye milima mchina anaomba pause kwa msweden
Acha uongo,majinja anakalishwa kila siku na Golden deer ya sumbawanga.
Yale mabasi ya majinja ni malory
Hapa inajulikana wazi mchina yupo vizuri kwa interior na mbaya uko chini kwa chasis, kwahiyo solution ni kuchukua body ya mchina na kuifunga kwa full chasis ya scania, hapo gari itadumu na itapendwa na wateja
Kubishana na mtu ka wewe bora kunywa kahawa tuu unaijua CSN ya majinjah wewe?! Haya sasa uliza lini route ya kyl dar kilicho mkimbiza mchina ili hali scania zinakimbiza bado
Kubishana na mtu ka wewe bora kunywa kahawa tuu unaijua CSN ya majinjah wewe?! Haya sasa uliza lini route ya kyl dar kilicho mkimbiza mchina ili hali scania zinakimbiza bado
CSN,BUL,CUW zote nazijua, kukimbia route kuna sababu nying, mbona sumbawanga na tunduma hakimbii?