Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Shida wewe ni mbishi kwa hio wewe amini kama unavyoamini mimi nimekuambia benz iko vizuri kuliko hio scania au volvo hata kwenye kudumu pia hamna cha volvo wala scania maana brand zote mimi nimezitumia kwa hio nazijua nje ndani mkuu
Tubishane kwa facts sio history, sikatai Daimler zina mazuri yake , mfano fuel consumption, diff za uhakika etc , Ila usisifie nguvu kwa Benz, usisifie uimara pia , nipo kwenye kazi ambayo ni too demanding, Germany dogs Man na Mercedes they just don't last.
Na nina mifano hai

Sent
 
Mkuu Tbij Mkuu unajua unachokiongea kutoka Cape Town mpaka JHB ni 1500 Km na kutoka JHB mpaka Lusaka ni 1500 Lusaka mpaka Tunduma 1100 ufananishe na safari za ndani kweli au Mimi sijawahi pata matatizo na gari nanunua huku nikiitumia kichwa vizuri situmii akili ya wapiga mbiu na nanunua ambazo za miaka ya karibuni kule matruck hayana bei kama unavyodhania.

Ukitembea maeneo tofauti kwa haya used naona jamaa wengi wanahangaika na Scania hizo bara bara nilizokutajia na pia ukitoka JHB ukapita Botswana boda ndogo unaweza ukatembea km nyingi sana sio hizo 1000 aisee na gari inakwenda inarudi inaenda inarudi na Nina uhakika nalo sio kwamba sizijui Scania nazijua vizuri ila ni matatizo tuu hayo Mkuu...
 
Benz kwa gari zao wamemaliza kila kitu au kiu ya watumiaji ni vile wengi hawajapata bahati ya kuona au kutumia hizo mashine wanakuja na hoja za Scania vs Benz aisee...Benz wapo mbali makampuni mengi yanatamani yawe Kama Benz na si Benz hawatamani wawe Kama Scania...
 
Afadhali unisaidie , Mana Kuna watu wamekariri Benz na sidhan wanajua mapungufu yake , wanyaruanda wanakula hasara za kutosha songea kwenye Actross na gari bado mpya kabisa

Sent
Kama wanakula hasara mbona wanaendelea kuziagiza? Si tungeona wananunua scania zinazowapa faida..

Mkuu nilishakwambia gari ni matunzo tu kuanzia maintainance mpaka driver.
Kama gari haitunzwi haiwezi kudumu!

Madhaifu hata scania wanayo sema kutokana na spare kuzagaa, ni rahisi kufix tatizo na watu kuona ni jambo la kawaida.

Halafu, Kwenye tuzo za international truck of the year (ITOY) benz wamechukua nyingi kuliko scania, je hao wapiga kura hawayajui madhaifu ya benz au benz wanabebwa?
 
Nimeingia stand ya mkoa Ubungo last week nikaona Abood amepanga YUTONG kama nane hivi, mchanganyiko wa single na double axle, sasa sijui Abood nae hajui biashara ya magari??

Halafu nikisikia mtu mzima anaongelea sifa ya spidi ya gari nakuona bado hujakomaa, bado infantile...

Vyombo vya biashara , basi, treni, ndege, tanker la mafuta, meli, vinaenda na ratiba iliyopangwa kibiashara na kiserikali, sio kwa sababu havina mbio. Sasa basi la Dar Bukoba likiwahi kufika leo leo ndio litageuza leo, leo jioni??? Litaondoka na mteja usiku??
Hapo hapo ungefanya utafiti kujua zinaenda wapi. Gari nyingi za abood hasa yutong hazipeleki kwenye milima na route ndefu. Mfano zinazokuja mbeya from dar zote ni marcopolo
 
Hauko fair kwenye kulinganisha , ndo Mana unapata jibu unalolipenda , ukitaka kulinganisha utamu wa chungwa la muheza linganisha na chungwa la pwani , usilinganishe na nanasi la kiwangwa!

Man 440 ilinganishe na scania 440, halafu let's mrejesho, man euro 5 linganisha na scania euro 5 scania 124 ukiingia sokoni miaka ya 1996 , sio fair kuipambanisha na man za 2015....
Man TGA ni ya 2001 sawa tu na scania 124 ,
Man TGs zimeanzia 2008 sawa tu na R420 za 2006-9.. comparison yake iko sahihi!

Halafu kupanda kitonga na high range gears siyo hoja kwa gari isiyo na tatizo ukizingatia mzigo si zaidi ya tani 32.

Hapo saranda kuna scania zinapanda na crowler wakati huo temperature inavuka 100
 
Kuna Mabasi sijui yana injini za treni nakumbuka siku moja tunatoka dar tunaenda mbeya tukakuta jam zito lililokuwa linaanzia kwa msuguri mpaka maili moja ikabidi tupite njia ya tegeta totokee kibaha mbele zaidi ya maili moja.

Kabla ya kuibukia barabara kuu kibaha kuna sehemu tulikuta barabara inatengenezwa ipo katika hali vumbi na mvua ilinyesha asubuhi ile kukawa na utelezi ile barabara pia ina kilima kikali Mabasi yakawa yanaserereka likiwemo Marco polo letu.

Mara nikaona basi moja Scania jeupe hivi likiwa linapanda kile kilima kama hamna matope nikashangaa sana maana Mabasi yalikuwa yako kwenye fulani ya kuserereka lenyewe likawa linatuovertake tu.
Kuna scania ya Capricorn ya Bunda Kigoma aisee inachanaga tope kama inapanda mfugale flyover
 
Mkuu Tbij Mkuu unajua unachokiongea kutoka Cape Town mpaka JHB ni 1500 Km na kutoka JHB mpaka Lusaka ni 1500 Lusaka mpaka Tunduma 1100 ufananishe na safari za ndani kweli au Mimi sijawahi pata matatizo na gari nanunua huku nikiitumia kic...
Isanga , safari nyingibza south kuja dar zinaanzia jhb, , jhb kwenda boarder yoyote ya kuja dar hakuna km 1000, Boader ni lazima utapoteza muda na truck itarelax, kutoka jhb Hadi dar hakuna namna truck itaamaliza km 1000 non stop ,ndio sababu mimekwambia hiyo ni safari rahisi sababu Ina vituo vingi

Sent
 
Man TGA ni ya 2001 sawa tu na scania 124 ,
Man TGs zimeanzia 2008 sawa tu na R420 za 2006-9.. comparison yake iko sahihi!

Halafu kupanda kitonga na high range gears siyo hoja kwa gari isiyo na tatizo ukizingatia mzigo si zaidi ya tani 32.

Hapo saranda kuna scania zinapanda na crowler wakati huo temperature inavuka 100
Scania 124 ilianza miaka ya 1997,

Sent
 
Kama wanakula hasara mbona wanaendelea kuziagiza? Si tungeona wananunua scania zinazowapa faida..

Mkuu nilishakwambia gari ni matunzo tu kuanzia maintainance mpaka driver..
Mkuu kwanza tuzo hazimaanishi kuwa kitu Ni imara Humaanisha kitu Ni popular tu.
Cummins N14 iliwahi kuchukua tuzo ya worlds longest serving diesel engine, uliza watu wa temesa engine gani zinawaumiza vichwa kwa ubovu kwenye genset na vivuko,utaambiwa ni hizo hizo Cummins

Hizi gari ili ziqualify kushindania tuzo, ni lazima watu wazitumie mwaka mzima ndiyo waje na feedback!

mf. Gari iliyoshinda 2020 ujue ilitengenezwa 2019. Wameitumia mwaka mzima wameona inafaa kuliko zingine ndiyo maana wameichagua kuwa best truck! Sasa sijui popularity inakuwaje ni kigezo cha ushindi..

Cummins N14 tulikuwa nayo kwenye freightliner century class ya mwaka 1999 pale nyamitambo!(hii kampuni iko lusaka) haijawahi kuleta shida, japo nilishatoka huko ila sijawahi kuikuta njiani eti imetaga.. huko kwenye vivuko sina ninachokijua!
 
Acha uongo,majinja anakalishwa kila siku na Golden deer ya sumbawanga.

Yale mabasi ya majinja ni malory
Sehemu ambayo mchina anapanda na speed 70 lakini scania ya Mzee Kabungo yaani majinja anapanda na 75 sasa hapo hufikirii tu kuwa wapo ndani ya limit ya speed ila mmoja na power?! Kifupi ni kwamba route zenye milima mchina anaomba pause kwa msweden
 
Watu wengi humu wanajadili vitu bila kufuatilia, huyo sauli kitu kinachosababisha azipite bus za mchina ni hizo airbags (boosters).

Siku zote wakitoka dar had iringa sauli huwa anakimbizwa, kipande pekee anachowakalisha wachina ni kipande cha igawa had mbeya mjini ambapo barabara imejaa mashimo, yeye anafukia tu.

Ila kiuwezo kuanzia miliman had tambarare hawez kufikia nguvu ya cummins, ule ni umeme wazee. Gari za kichina tuziponde kwny durability ila sio speed na comfortability.
 
Acha uongo,majinja anakalishwa kila siku na Golden deer ya sumbawanga.

Yale mabasi ya majinja ni malory

Kubishana na mtu ka wewe bora kunywa kahawa tuu unaijua CSN ya majinjah wewe?! Haya sasa uliza lini route ya kyl dar kilicho mkimbiza mchina ili hali scania zinakimbiza bado
 
Hapa inajulikana wazi mchina yupo vizuri kwa interior na mbaya uko chini kwa chasis, kwahiyo solution ni kuchukua body ya mchina na kuifunga kwa full chasis ya scania, hapo gari itadumu na itapendwa na wateja
 
Upo sahihi mkuu ingawa sasa tabu inakuja unaambiwa bodi za mchina ni nzito kuliko hizi za kuchonga sasa mizani tena inakuja kuwa tabu ingine tena
 
CSN,BUL,CUW zote nazijua, kukimbia route kuna sababu nying, mbona sumbawanga na tunduma hakimbii?
Kubishana na mtu ka wewe bora kunywa kahawa tuu unaijua CSN ya majinjah wewe?! Haya sasa uliza lini route ya kyl dar kilicho mkimbiza mchina ili hali scania zinakimbiza bado
 
CSN,BUL,CUW zote nazijua, kukimbia route kuna sababu nying, mbona sumbawanga na tunduma hakimbii?
Kubishana na mtu ka wewe bora kunywa kahawa tuu unaijua CSN ya majinjah wewe?! Haya sasa uliza lini route ya kyl dar kilicho mkimbiza mchina ili hali scania zinakimbiza bado
 
CSN,BUL,CUW zote nazijua, kukimbia route kuna sababu nying, mbona sumbawanga na tunduma hakimbii?

Sema moja ya sababu! Mkuu scania weka mbali na mchina. Route za masafa marefu na zenye milima ndo utajua scania ni baba lao ukitaka muulize mchina why hana route ya mwanza mbeya
 
Back
Top Bottom