kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Shida wewe ni mbishi kwa hio wewe amini kama unavyoamini mimi nimekuambia benz iko vizuri kuliko hio scania au volvo hata kwenye kudumu pia hamna cha volvo wala scania maana brand zote mimi nimezitumia kwa hio nazijua nje ndani mkuu
Tubishane kwa facts sio history, sikatai Daimler zina mazuri yake , mfano fuel consumption, diff za uhakika etc , Ila usisifie nguvu kwa Benz, usisifie uimara pia , nipo kwenye kazi ambayo ni too demanding, Germany dogs Man na Mercedes they just don't last.
Na nina mifano hai
Sent