Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
rudisha avator yako awali tuliyoizoeUmefufuka tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rudisha avator yako awali tuliyoizoeUmefufuka tayari
Hahah hahah hahahah sawa mkuurudisha avator yako awali tuliyoizoe
AvAtar changedrudisha avator yako awali tuliyoizoe
yes huyu ndio bujibuji og,ukiona picha tu huna haja ya kusoma jinaAvAtar changed
Trade Markyes huyu ndio bujibuji og,ukiona picha tu huna haja ya kusoma jina
HUYO DADAZUU ANAKALISHWA MARAKIBAO NA POLO LA TAIFAMkuu unaipata DZU 175 ya Jafari na Chris kusanya sauli zako zote azifui dafu Kwa chuma
Iyo Zhoungtong ni ZF high speed ni umeme
Chuma ni mbele mbele yao
Kama mmbishi fata chuma
DuuuhMkuu unaipata DZU 175 ya Jafari na Chris kusanya sauli zako zote azifui dafu Kwa chuma
Iyo Zhoungtong ni ZF high speed ni umeme
Chuma ni mbele mbele yao
Kama mmbishi fata chuma
mkeka unasomaje kwa sasaHUYO DADAZUU ANAKALISHWA MARAKIBAO NA POLO LA TAIFA
Mnaweza mkawa mnakimbia speed sawa na kuwa limited kwenye same speed ila pumzi ndio itadetermine uwezo wa kumaintain hiyo speed😊Kasi inakusaidia vipi iwapo Tochi ndio equalizer (yaani unatumia robo ya uwezo wako).., Kwahio Kigezo cha kupitwa sidhani kama ni muhimu saana kwenye huu muktadha....
Kwahio hizi gari speed yao na uwezo wao ni chini ya Speed ya mwendo uliowekwa yaani ni chini ya speed limit iliyowekwa Kwahio hata hazihitaji hizo tochi sababu tayari mwendo wao ni minimum of the required speed (Hicho ndicho unachotaka kunieleza) ?Mnaweza mkawa mnakimbia speed sawa na kuwa limited kwenye same speed ila pumzi ndio itadetermine uwezo wa kumaintain hiyo speed😊