Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mkuu unaipata DZU 175 ya Jafari na Chris kusanya sauli zako zote azifui dafu Kwa chuma

Iyo Zhoungtong ni ZF high speed ni umeme

Chuma ni mbele mbele yao

Kama mmbishi fata chuma
HUYO DADAZUU ANAKALISHWA MARAKIBAO NA POLO LA TAIFA
 
Kasi inakusaidia vipi iwapo Tochi ndio equalizer (yaani unatumia robo ya uwezo wako).., Kwahio Kigezo cha kupitwa sidhani kama ni muhimu saana kwenye huu muktadha....
 
Kasi inakusaidia vipi iwapo Tochi ndio equalizer (yaani unatumia robo ya uwezo wako).., Kwahio Kigezo cha kupitwa sidhani kama ni muhimu saana kwenye huu muktadha....
Mnaweza mkawa mnakimbia speed sawa na kuwa limited kwenye same speed ila pumzi ndio itadetermine uwezo wa kumaintain hiyo speed😊
 
Mnaweza mkawa mnakimbia speed sawa na kuwa limited kwenye same speed ila pumzi ndio itadetermine uwezo wa kumaintain hiyo speed😊
Kwahio hizi gari speed yao na uwezo wao ni chini ya Speed ya mwendo uliowekwa yaani ni chini ya speed limit iliyowekwa Kwahio hata hazihitaji hizo tochi sababu tayari mwendo wao ni minimum of the required speed (Hicho ndicho unachotaka kunieleza) ?

Point yangu kubwa ni kwamba unaweza ukawa unajua Karate na Kung Fu ila kama kwenye mpambano watu wanakuja na bastola na bunduki huenda hautapata muda wa kuonyesha umahili wako wa Kung Fu zaidi ya kwenye Kaburi lako maneno ya RIP Master of Karate & Kung Fu
 
Back
Top Bottom