mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,155
- 2,704
Hivi karibuni tumeona baadhi ya viongozi nanwatendaji wakikemea kuhusu mwendokasi wa madereva lakini ajali bado ni nyingi, tulijaribu kufanya research ndogo kwa nini hasa hii hali. Na dereva mmoja alithibitsha kua vile vidhibiti mwendo katika basi nyingi vimechezewa na Ratra baadhi ya watendaji wamepokea rushwa hivyo ule udhibiti sio kama zamani tena. Mabasi hutembea speed ya 120 ama zaidi na inapokutana na changamoto ya barabara mbovu hushindwa kudhibiti basi na kupinduka