[emoji23][emoji23][emoji23]Yani kuwa muafrika mpaka uje ufikie miaka 70 ni mbinde kwelikweli!, huku madawa fake, chakula hakieleweki, barabara mbovu, gari zinachezewa system ili zituue!, hapo ukute na dreva amekunywa konyagi fake.. wewe na tumiaka twako kumi na kenda mnajikuta jehanamu chap tu..![emoji28]
Ni kweli kabisaHivi karibuni tumeona baadhi ya viongozi nanwatendaji wakikemea kuhusu mwendokasi wa madereva lakini ajali bado ni nyingi, tulijaribu kufanya research ndogo kwa nini hasa hii hali. Na dereva mmoja alithibitsha kua vile vidhibiti mwendo katika basi nyingi vimechezewa na Ratra baadhi ya watendaji wamepokea rushwa hivyo ule udhibiti sio kama zamani tena. Mabasi hutembea speed ya 120 ama zaidi na inapokutana na changamoto ya barabara mbovu hushindwa kudhibiti basi na kupinduka
Muda huu nimepita Biharamulo (Kagera) basi la Abood linapandishwa kwenye lori lisafirishwe.
Haarifa za za mashuhuda zinadai m ni kwamba liligongana uso kwa uso na lori jana jioni likitoka Bukoba kwenda Dsm.