Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

wanazidi kuwapa umaarufu tu
 
wasukuma toka wazaliwe hawajawahi kuliona g7 so sishangai wanavyolisifia ni sawa na kule mbeya hawakuwahi kuliona g7 mpaka sauli alipolipeleka.....
 
Nani kakwambia biashara ya mabasi unarudisha pesa ndani ya miezi 3?

Si mjinga kulipa Bima ya zaidi ya milioni 180 kwa mabasi 3

Ukiona hivyo hana hela za mawazo
hawa jamaa sijui wanamchukuliaje yule mhaya katarama
waambie tu before hajaingia kwenye mabus ana milori ya kutosha na sheli kama zote....sio mnyonge hata kidogo
 
Yule jamaa katisha ana Number A zimesimama sana

Yeye na World Oil ni balaa

Number A yake kama DSA
nasikia mzungu huyu... na dereva ukikutwa hata na spana tu kazi huna
 
Mi gari yangu ni kiazi kitamu tu[emoji1787] Mwanza Arusha kama napaaa vile,ukiliona kwa nje bayaaaaa,ila moto wake waulize kina loliondo[emoji3]
 
Satco nimewapenda sana Dodoma- Kagera madereva kama wale wa Diplomatic ,

Nimepata mrejesho toka Kwa jamaa zangu wa karibu wana wakubali sana kwa kuendesha kiusalama,

Yaani abiria hadi analala bila kuwa roho juu wala mkononi.

Mwendo wa usalama kabisa,

Hawana break za kustukiza, hawana papara Yaani kama uko kwenye utalii wa ndani vile.

Isijekuwa ni coincidence tu bali iwe ni lifestyle yenu .
 
Abiria wamekaa ndani wamerelax gari yao inaoshwa maji nje kisa imewahi kufika stendi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€”
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa gizaπŸ˜‚, halafu katika watu ambao hutakiwi kuwasifia kwa ustaarabu ni watu wa mabus coz wanaweza kukushangaza anytime
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza[emoji23], halafu katika watu ambao hutakiwi kuwasifia kwa ustaarabu ni watu wa mabus coz wanaweza kukushangaza anytime



Ni kweli kabisa nakubaliana na nawe lakini wakati mwingine ukiona mtu anafanya vizuri kumtia moyo sio vibaya!
 
Naona siku hizi Katarama inaingia Dar saa nne asubuhi na saa kumi na moja jioni. Sijui huwa anaondoka Mwanza saa ngapi.
 
Naona siku hizi Katarama inaingia Dar saa nne asubuhi na saa kumi na moja jioni. Sijui huwa anaondoka Mwanza saa ngapi.
Wanatoka mwanza SAA 2 usiku na wanaingia DAR SAA 3-4.
Pia lipo linalotoka DAR 2 usiku na linaingia mwanza SAA 3-4 na wameanza Toka juzi na polo kichaa DXE linatoka SAA 1 usiku hili bus linaitwa kichaa kutokana na speed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…