Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adhabu laini sana madereva wanawacheka tu..LATRA ilitoa utaratibu kwa mabasi kuomba ruhusa kuanza safari saa 9 alfajiri badala ya 11 asubuhi kama ilivyokuwa awali, hivyo hawa wamefungiwa kutokana na sababu kadha ikiwemo kutemper na mifumo ya kudhibiti mwendo
Asante rabi anatoka SAA 12 asubuhi kwenda chugaImefungiwa nayo kutoka saa 9 usiku?
Sehemu nyingine sijawahi kufika mkuuHivi haya mauzauza ni hapa tanzania tu au sehemu nyingine .
Hayajafungiwa kufanya biashara mkuu, ni kutoka saa 9 usiku tu.Pia waziri alishakataza kufungia biashara au ilikuwa Burundi!?
Hizi tunapanda vijana sasa wazee kama wew mwende mpande ma isamilo na fresterNilipanda hiyo Katarama, safari ilijaa kero hayo mambo (yanayofanyika kwenye video) ni kila mahali anapopita kuanzia Chalinze, Moro, na vimiji vyake vidogo mpaka mwisho wa safari!!
Kero zaidi! Nilikaa siti ya mbele, lina honi kama mawimbo mweee mweeee!! Kila kona akiona watu honi!! Hupumziki, huwezi hata kusinzia na hata kuongea na simu shida!! Wafungiwe tuu
Stories😄Aidha Kampuni ya Isamilo imepewa onyo kali la mwisho kabla ya kuchukuliwa hatua stahiki.
Happy nation anakimbia ligi gani hyo ? Mwanza anafika sa 8,9 mpak sa 10 alfajiri , na ndugu yake AboodHappy nation anakimbia kwa akili
yeye hawekew ligi na wanazi
anakaa pale nafas ya 3
Ila Katarama awe makini na wanazi kushindana na kampuni yenye vyuma zaidi 30 afu wewe una gari tatu ishu ,,,isije yakatokea ya Sauli.Hao frester na happy nation ni sawa na championship. Ally's na Katarama ndio EPL yaani ligi ya wakubwa na ukizingatia Katarama ndio kapanda daraja lakini anasumbua.
Mzee scania ipe heshima yake tupa geuka kila siku sio jambo la kubeza cha muhimu awe makini yasimkute ya Sauli.Angalia Mwanza leo nani kaingia wakwanza na wapili, Katarama sema uscania ndio unambeba kama sauli, wanazi wapiga kelele wakianza kupoteana wanakaa pembeni
Hawezi kujilinganisha na Ally's mwenye mabasi ya kutosha na madereva wajuzi, machage kahamia katarama lakini wapi na bado happy nation anasumbua katarama wenu
ohooo nkuletee mikeka sahivi kacharuka hashikikiHappy nation anakimbia ligi gani hyo ? Mwanza anafika sa 8,9 mpak sa 10 alfajiri , na ndugu yake Abood
Hata mimi gari zinazokimbia hovyo hovyo huwa sipendi.Tutajieni zinazoenda mwendo wa kobe mimi hizo za ligi hapana kwakweli
Huyo mchina kwa skanyia ni utopolo tuUnazi kwani ameshamuacha Ally's kwa dakika hata 10 huo uscania hauna maana kwa dragons na higer tu
ni maelekezo tu .Happy Nation mwendo wa kobe?!!! Mkuu ushawahi iona hata happy Nation kweli? Hii Happy Nation ni onatembea balaa tena hii wiki nzima alikuwa anawwpita Ally's na Katarama gepu kubwa tuu sijui kaponaje
Hata mimi nashangaa maana ni tupa geuka.Yule jamaa akiongeza akawa ma scania 6 anakuwa kamaliza kesi.
Ila service yanafanyiwa muda gani?
Nimekuelewa sana ila nao unajua wanampa kichwa dereva na matokeo huwa mabayaKaka we umesema wacha yafe we umeona gari imeanguka hapo? Si zimeingia stand na kusepa hizo ni fantasy zao, unafikiri hawana akili kiivyo hadi useme wacha yafe, wanafurahia kuona gari ya kwanza kuingia yawezekana gari zinaenda kwa mwendo sahihi lkn lazima iwepo ya kwanza,
Kaka we umesema wacha yafe we umeona gari imeanguka hapo? Si zimeingia stand na kusepa hizo ni fantasy zao, unafikiri hawana akili kiivyo hadi useme wacha yafe, wanafurahia kuona gari ya kwanza kuingia yawezekana gari zinaenda kwa mwendo sahihi lkn lazima iwepo ya kwanza,
DxS zimekuja tungis kashajifia kulikua DRG lapetrol na kina DSE kina jeshi ndo walimuua tungis ndo wakaja kina DVA wakakimbizana na dar lux mpaka kampuni ikafa ndo zikaja DXSNdio mkuu, Ally's ana akili sana. Katarama kapewa akina DXS roho za paka wamchekeche humo road, muda huohuo zipo DVA na EBG zinatembea zimerelax.
Kumbuka DXS (Most wanted, Winchester) ndio ziliwatuliza kina Tungi's, Travel Partner na wengine waliojileta race na bado zipo mzigoni[emoji23][emoji23]
Inashangaza sanaMuda mwingine unakuta amepigwa tatu mzuka kabisa na gape la kutosha