Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Sidhani kama ni uamuzi sahihi. Badala yake wangetenganisha. Ally's akiondoka saa tisa kamili, Katarama aondoke baada ya nusu saa.
Ligi hazitakuwepo tofauti na hii ambapo mabasi yote yanaondoka muda unaofanana.
hapo itakua uhasama, sasa kwa nini uruhusu kampuni moja iwahi kutoka ingine ichelewe kutoka dakika kadhaa
 
Hii ndio video iliyowapelekea LATRA kusitisha safari za usiku kwa mabasi ya Ally's na Katarama kwa muda wa kutoka dar es salaam sa tisa usiku kwenda Mwanza na badala yake yataondoka sa kumi nambili asubuhi View attachment 2663425

Happy nation kapigwa chini kama kawaidaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hio kauli imenichekesha ina maana happy nation wa mwisho daily
 
Nilipanda hiyo Katarama, safari ilijaa kero hayo mambo (yanayofanyika kwenye video) ni kila mahali anapopita kuanzia Chalinze, Moro, na vimiji vyake vidogo mpaka mwisho wa safari!!

Kero zaidi! Nilikaa siti ya mbele, lina honi kama mawimbo mweee mweeee!! Kila kona akiona watu honi!! Hupumziki, huwezi hata kusinzia na hata kuongea na simu shida!! Wafungiwe tuu

Nyie ndio wazee mnaopandaga na magazeti ya the Gurdian au mwananchi [emoji853]
 
Mkuu, usiwachukulie poa hao wasukuma hapo kavuna gunia kama 100 za mpunga ziko stoo na ana ng'ombe 32. We una mtepesho tu
Inawezekana pia ila umasikini wenu uko pale pale huyo unaemsifia ameajiri watu wangapi kwa ng'ombe hizo

Sasa unamsifia mtu ana ng'ombe 32 poor you
Pambana na hali yako

Ila hao wanafurahia vifo vya wenzao maana kuna ajali kwa ushawishi huo
Nashangaa unaona sawa tu
 
Mkuu huez ishi dunia ya peke yako...
Alaf hao wapo maeneo yao ya kazi na hayo ni maisha yao ya kila cku
Kweli kabisa ila sio ya kufurahia kuna hatari ya kufa watu na wao wanafurahia tu
 
Back
Top Bottom