EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
sauli hana moto tenaSauli wa Mbeya naona walimpiga pin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sauli hana moto tenaSauli wa Mbeya naona walimpiga pin
nazan ni fantasy yao ni kama football mashabik hua wanawaingizia weny akili helaMapumbavu sana
Yanapoteza mda wao kuangalia wenye akili wakiingiza hela
Acha yawe masikini tu
kuna cku nilikua naendesha boxer 150 niliikanda mpaka nkaona haikimbii yani mpaka nilisimamia kudadek nilitamani ipae.nitamrithi yaada ya msiba í ½í¸
Hahahahahaha kijiji hakitakuacha salamanitamrithi yule bibie aisee baada ya msiba í ½í¸
Tatizo wanakimbilia kununua Scania za milioni 700 wakati mwarabu anavuta zhongtong ,higer na Yutong kwa bei chee kutoka kwa mchina na anawahi kurejesha pesa yake fasta kuliko hayo mabasi ya msweden.Hapo penyewe bado ana safari ndefu kurudisha pesa ya hizo alizo nazo
ndiyo nishasema sasa , wewe panda Ally's 😅 😅Hahahahahaha kijiji hakitakuacha salama
Shukuruni bado wapo wanaowatetea.Wanazingua kwan sie abiria tumelalamika
😅 😅 😅 😅kuna cku nilikua naendesha boxer 150 niliikanda mpaka nkaona haikimbii yani mpaka nilisimamia kudadek nilitamani ipae.
Shida siyo kukaa nazo miaka mingi mkuu..Ila anayechukua hizo gari ana uhakika wa kukaa nazo miaka mingi kwa ruti ndefu.
Angalia Kilimanjaro, Abood, Dar Ex bado wana Scania zao numero A
halafu likipata ajali watu wakifa munaanza kusema sema manenoWanazingua kwan sie abiria tumelalamika
Zile basi ni namba E kwa hesabu rahisi mpaka sasa hajarudisha badoKwani yeye na wewe nani katoa hela?
Yeye na wewe nani huingiza hela?
Kulikua na Hekima , sauti ya Manka, Lupila, Okoa,Zainabu, Scandinavia.Mimi napendaga nipande gari ikimbie mpaka nione kizunguzungu.
Wewe na yeye nani anajua?Shida siyo kukaa nazo miaka mingi mkuu..
Shida ni je, bado itaendelea kuvutia abiria?
Kuiservice body ya G7 iendelee kuvutia kwa miaka kumi mbele siyo jambo dogo. Ndiyo maana ukitoa G6 za Kilimanjaro, hakuna G6 nyingine inayovutia. Zote ziko hoi..
Dar exp walinunua G7 sh zisizopungua 840mil baada ya miaka 5 ya utendaji, wakatangaza kuiuza 80mil..
What a waste!!
Wewe ndio hufuatilii tu ligi ya kaskazini, ila ipo kina Tahmeed, kidia na classic kwenda Kenya, pia kuna Tilisho na BMSionagi logic ya haya mabasi kushindana kufika wa kwanza mbona ni kuhatarisha maisha ya abiria sababu yakukimbizana mbona kaskazini hakuna hizi ligi na mabus yanafika vizur kwa wakati.
Nani kakwambia biashara ya mabasi unarudisha pesa ndani ya miezi 3?Zile basi ni namba E kwa hesabu rahisi mpaka sasa hajarudisha bado
Unajua watu wanapoona kampuni zinanua basi za Mchina kama Yutong, Zhong Tong, Golden Dragon, Higer, Asia Star, Ling Long wanafikiri hawana uwezo wa kununua hizo Polo G7 au G6Shida siyo kukaa nazo miaka mingi mkuu..
Shida ni je, bado itaendelea kuvutia abiria?
Kuiservice body ya G7 iendelee kuvutia kwa miaka kumi mbele siyo jambo dogo. Ndiyo maana ukitoa G6 za Kilimanjaro, hakuna G6 nyingine inayovutia. Zote ziko hoi..
Dar exp walinunua G7 sh zisizopungua 840mil baada ya miaka 5 ya utendaji, wakatangaza kuiuza 80mil..
What a waste!!