Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Nilipanda hiyo Katarama, safari ilijaa kero hayo mambo (yanayofanyika kwenye video) ni kila mahali anapopita kuanzia Chalinze, Moro, na vimiji vyake vidogo mpaka mwisho wa safari!!

Kero zaidi! Nilikaa siti ya mbele, lina honi kama mawimbo mweee mweeee!! Kila kona akiona watu honi!! Hupumziki, huwezi hata kusinzia na hata kuongea na simu shida!! Wafungiwe tuu
Hukuwaonya? Ingepata ajali ukaumia huoni ungekuwa umefanya kosa kukaa kimya?
 
Nani kakwambia biashara ya mabasi unarudisha pesa ndani ya miezi 3?

Si mjinga kulipa Bima ya zaidi ya milioni 180 kwa mabasi 3

Ukiona hivyo hana hela za mawazo
Kwenye biashara tunaangalia sana Return on Investment

Ndio maana Abood kaachana na SCANIA kawekeza kwenye YUTONG.

Na kampuni nyingine pia zimefanya hivyo
 
Kwenye biashara tunaangalia sana Return on Investment

Ndio maana Abood kaachana na SCANIA kawekeza kwenye YUTONG.

Na kampuni nyingine pia zimefanya hivyo
Ndo maana nimeuliza

Je aliyenunua hakujua hayo yote?

Je ASAS aliyeamua kuvuta P460 35 yeye hakuona ROI ya mapema endapo angechukua FAW, HOWO?

Tusiwe washauri kwenye pesa za watu.

Mtu katoa pesa zake kununua kitu chake, ambacho hajaomba ushauri afu unampangia kuwa hairudishi mapema.
 
Ndo maana nimeuliza

Je aliyenunua hakujua hayo yote?

Je ASAS aliyeamua kuvuta P460 35 yeye hakuona ROI ya mapema endapo angechukua FAW, HOWO?

Tusiwe washauri kwenye pesa za watu.

Mtu katoa pesa zake kununua kitu chake, ambacho hajaomba ushauri afu unampangia kuwa hairudishi mapema.
Hapa kila mtu anatoa tu maoni yake sidhani kama kuna shida
 
HAUHTAJI TENA KUFANYIWA UPASUAJI ILI KUPONA BAWASRI..............

Kama Umekua Ukitamani Kufahamu Njia Rahisi Na Za Haraka za Kupona Bawasiri Bila Upasuaji Basi Nina Habari Njema Sana Kwako..

Tumekuandalia Mafunzo Ya Bure Kabisa Kupitia WHATSAPP Ambapo Utajifunza Bure Jinsi Ya Kumaliza Changamoto Ya Bawasiri Bila Upasuaji

Hivyo .. Utaweza Kumaliza Kabisa Changamoto Ya Bawasiri Ukiwa Nyumbani Kwako, Bila Upasuaji....

Na Hii Ina Maana kua Utaweza Kuokoa Pesa Na Gharama Kubwa Ya Kufanyiwa Upasuaji

Na Hatimae Utaweza Kufurahia Maisha Yako Kama Kawaida

[ Gusa Hapa Kujiunga ]



Mafunzo Haya Ya BUREE Yanahitaji Watu 200 tu na Mpaka Sasa Zaidi Ya Watu 100+ Wamesha Jiunga na Darasa.

Hivyo Kabla Nafasi Hazijaisha Basi Jiunge Kwa Kugusa Link Hapa Chini

 
Tatizo wanakimbilia kununua Scania za milioni 700 wakati mwarabu anavuta zhongtong ,higer na Yutong kwa bei chee kutoka kwa mchina na anawahi kurejesha pesa yake fasta kuliko hayo mabasi ya msweden.

Biashara ni ujanja tu. Mpaka hizo scania zirudishe pesa zilizonunuliwa ,huku Ally's kashaingiza mikupuo miwili ya basi mpya.
Hawanunui scania brand new! Wananunua injini peke yake body wanachongesha kenya
 
Yule jamaa katisha ana Number A zimesimama sana

Yeye na World Oil ni balaa

Number A yake kama DSA
Hatari sana PRIMEFUELS ni mwendo wa Mercedes Benz gari zake zote zimesimamia ukucha dere hahitaji utingo

World oil naye wamoto sana
 
Back
Top Bottom