Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Ila wote hao hawaingii ndani ya Chuma linaloitwa Asante rabbi linalopiga route ya Mwanza-Arusha. Chuma inatembea kama ndege ya ardhini kila siku ndio inafungua geti pale singida kwa gari zinazotoka mwanza.
 
Ujio wa katarama unampa shida kubwa ally's ndiyo maana kila kukicha latra wamekuwa mstari wa mbele kumsaidia ally's na kipigo cha kuisoma namba....
Katarama ndiyo chaguo la watu wa mwanza inajulikana sasa iweje latra inawauma ?
katarama haungozi kila siku mkuu kuna siku allys zotebili zinatangulia
 
Kaskazini ligi yao iko kuwa na wahudumu pisi kali kwenye mabasi
Ligi ilikuwa tamu sana miaka ya tisini unakutana na Ngorika,Buffalo,Saibaba,Dar express n.k

Madereva wa chuga ni hatari ktk kukimbiza hizo basi. Dereva anaingia kwenye basi kashajibusti kwa viroba na mjani.
 
wanatupunguzia si tuliopo hapa Ziba kuona Ligi iliyopo kati ya Zuberi na Super feo ya Songea
 
Back
Top Bottom