Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hata hapo imechelewa dar Moro ni dakika 90 mpaka 100 tuu
Hakuna basi linaloweza kutumia dk 90, Dar - Moro...
Huo muda ni gari dogo tena baadhi ndio unaaweza tumia...
Miaka ya nyuma nimeshaendesha 1hr 45mins Dar - Moro, ile sio spidi ya kawaida na haihitaji kusimama hata kidogo...