Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Huwa wanabadilishana manyoni
Nimekuwa Nikisafiri na Ally's star mara nyingi, madereva nimekuwa nikiona wawili. Kuna dereva mmoja anaitwa Shaban, ni namba chafu yule jamaa. Alishika usukani kuanzia igunga hadi dar. Yule jamaa anataka kuona gape tu mbele yake, yaani anayala magari yaliyo mbele yake, anazikata semi hadi sita, yaani anataka mbele pawe peupe, kosa aone kuna gari, itatafutwa hadi iliwe. Hadi anajikuta basi za mwanza-dar kazimaliza, inabaki kuwasulubu hawa wengine. Jamaa control zimelala
 
Unavyosifia inafurahisha kusoma ila balaa lake hizo control zikigoma sio la nchi hii!
 
polisi iweke check point moro dom tabora shinganya na kuwe na muda wakufika hapo sio kufungiwa ata saa 12 bado wanakimbia mnoo
Mkuu hio kitu Ni ngumu Sana kwa Hawa police wetu maana Kuna siku nilitoka Dom saa 12 nafika Moshi saa 5 yule mbwa alitaka tuua na kote police walikuwepo
 
Kuna vipande vya ligi ukitoka mwanza kuitafuta kahama.

Shy-nzega

Igunga-iguguno

Manyoni-Bahi

Mbande-Gairo

Hivi vipande moto huwa unawaka.

Sehemu inayoheshimiwa ni downtown Dodoma na kipande cha Moro-Dar
 
Spidi zs gari zimwekwa sio mapambo tu inatakiwa zitumike.

Ally star na Katarama walikuwa wanazitendea haki spidi za gari

Watu wanataka kuwahi kufika waendako

Binafsi sipendi basi linalotembea taratibu napenda linalokimbia sana
 
Ally's mpika majungu tuu 🤠🤠🤠, katarama ni balaa ile 😂😂😂 ingekua kama sio vile vidubuasha vyao vya speed katarama saa 2:30 angekua amepaki nyegezi
 
Spidi zs gari zimrwekwa sio.mapambo tu inatakiwa zitumike.
Ally star na Katarama walikuwa wanazitendea haki spidi za gari

Watu wanataka kuwahi kufika waendako

Binafsi sipendi basi kinslotembea taratibu napenda linalokimbia sana
Haswaaaaa
 
Spidi zs gari zimrwekwa sio.mapambo tu inatakiwa zitumike.
Ally star na Katarama walikuwa wanazitendea haki spidi za gari

Hizo barabara za kukimbia spidi zote ndio hizi hizi?
 
Ila anayechukua hizo gari ana uhakika wa kukaa nazo miaka mingi kwa ruti ndefu.

Angalia Kilimanjaro, Abood, Dar Ex bado wana Scania zao numero A
Kilimanjaro Namba A nimekutana nayo Sam Nujoma asubuhi saa nne sijui imetoka Tanga au Moshi, ngoma kama mpya.
 
Back
Top Bottom