Labda kwa sababu katarama ni mbantu na ally's mwarabu...kwa io wabantu wanamsapoti ndugu yao.Hii ligi huwa inanishangaza kitu kimoja tu, hizo katarama ukikuta wanazi wanavozifia alafu kaangalie mikeka sasa utashangaa mwenyewe.
Yaani kwenye mikeka ni tofauti na wanavozisifia,
Mikeka ya mwezi mzima ally's ndo huwa inafungua geti mara nyingi kuliko gari zote ila sasa wanazi wakute wanasifia katarama!
Kuna jamaa anasema katarama anafika dodoma saa 3 asubui kama vile ni jambo la ajabu!! Wakati hao wote wanatoka saa 9 usiku dodoma wanapitaga wote saa 3