Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Dar Mwanza basi zote Ally's,Katarama,Happy Nation,Isamilo n,k madereva ni wawili.

Siungi mkono LATRA kuzuia,ila hii ligi ya Ally's Vs Katarama ni ngumu, iamuliwe mapema kwa namna nyingine na sio kuzuia kutoka saa tisa.
Hata wakiambiwa watembee saa 2 asubuhi bado ligi yao itaendelea hivo hivo, watu wanapenda ligi
 
LATRA wamezingua sana. Cha muhimu ajali hazitokei sikuona sababu ya kukataza



Wako proactive na sio reactive.

Wanachukua tahadhari kabla ya hatari.

Kinga ni bora kuliko tiba.

Wakisubiri ajali itokee maana yake watu wafe au wapate ulemavu wa kudumu ndipo wachukue hatua?, je itasaidia nini sasa?!
 
Smh! Its all fun and games kwa nyie mnaofurahia such carelessness until you loose your loved ones, ndo senses zitarudi
 
Ligi imemshinds ndiyo maana ameenda latra kubadilishiwa muda WA kutoka kumbuka hii yote ni janja ya nyani Tu.
Usifiri latra latra wapo neutral Bali ni mbinu za ally's ili wasiachwe nyuma
Huu ulimbukeni ulikuwa umetamalaki sana miaka ya 1980 barabara ya Arusha to Dar. Kumbe mpaka sasa kuna wajinga wanashabikia? Kweli dunia kubwa.
 
Bora nipande zangu ZUBERI/KISESA kuliko hayo magari yenu ya mbio
 
Ujio wa katarama unampa shida kubwa ally's ndiyo maana kila kukicha latra wamekuwa mstari wa mbele kumsaidia ally's na kipigo cha kuisoma namba....
Katarama ndiyo chaguo la watu wa mwanza inajulikana sasa iweje latra inawauma ?
Acha ushabiki ukiangalia mikeka mingi allys ndo wa kwanza
 
Ligi imemshinds ndiyo maana ameenda latra kubadilishiwa muda WA kutoka kumbuka hii yote ni janja ya nyani Tu.
Usifiri latra latra wapo neutral Bali ni mbinu za ally's ili wasiachwe nyuma
Acha ujinga na ushabiki, mtu ana gari nyingi ahangaike na mtu mwenye gari 3!!

Alafu ukianglia mikeka ya mwezi mzima allys ndo anafungua mara nyingi. Huo ushabiki sijui mnapata faida gn!!
 
Back
Top Bottom