Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Ila ukichungiza asilimia 98 ya abiria wanapenda mwendo mchibuyu fulu mambio ndio man hujasikia raia wamelalamika[emoji1787][emoji1787]
Mwendo wa ngiri mkia juu😁😁😁😁

IMG_20230621_061419.jpg
 
Ujio wa katarama unampa shida kubwa ally's ndiyo maana kila kukicha latra wamekuwa mstari wa mbele kumsaidia ally's na kipigo cha kuisoma namba....
Katarama ndiyo chaguo la watu wa mwanza inajulikana sasa iweje latra inawauma ?
Angalia Mwanza leo nani kaingia wakwanza na wapili, Katarama sema uscania ndio unambeba kama sauli, wanazi wapiga kelele wakianza kupoteana wanakaa pembeni
Hawezi kujilinganisha na Ally's mwenye mabasi ya kutosha na madereva wajuzi, machage kahamia katarama lakini wapi na bado happy nation anasumbua katarama wenu
 
mabas yanapishan dak mbili tatu sasa hapo ndo ligi gan?
 
Wanazi wamechangia sana ile mikeka imefanya madereva wakimbize sana hayo mabasi

Ila ligi yao tamu sana

Kwenye ligi la mabio wapo Happy Nation na Frester vipi wao hawajapigwa ban kuanza safari mida hiyo
Uzuri hawapati ajali.
Latra walegeze bana, nchi yetu si ya kutembea mchana tu.

Ligi ilifikia patamu sana
 
Back
Top Bottom