Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Angalia Mwanza leo nani kaingia wakwanza na wapili, Katarama sema uscania ndio unambeba kama sauli, wanazi wapiga kelele wakianza kupoteana wanakaa pembeni
Hawezi kujilinganisha na Ally's mwenye mabasi ya kutosha na madereva wajuzi, machage kahamia katarama lakini wapi na bado happy nation anasumbua katarama wenu
Hater
 
Alipotea kwa kuendekeza kelele za wanazi kama katarama, bado mapya na tuwape muda watasadiki tu
Wanazi sio watu wazuri wanakujaza ukianza kupoteana wanahamia kwengine. Ni kama sasa hivi Sauli anavyokusanya wanazi

Katarama kazi anayo kushindana na mwarabu wa Ally's

Zile Polo G7 hazipumziki acha tuone
 
Bado wapo ruti ya Dar to Kahama na Dar Tabora na anatumia rangi kama ya happy nation
Kuna siku nilipanda scania yao ile wale vijana ni wahovyo sana dereva na Konda na zaidi hadi abiria wa siku hiyo wote walikua ni wa hovyo.. basi lilikua linakimbia nikajisemea mama yangu mama yangu sijui kama nitafika salama
 
Katarama imekuwa ikipata saluti ya kumwagiwa maji kila inapowahi kuwasili katika mkoa mmoja ulioko katika barabara iendayo mwanza/kahama. Mashabiki wanayashangilia sana wakiyashindanisha na ally's. Hii katarama ni kampuni mpya ya mabasi iliyojipatia umaarufu kwa muda mfupi ikiacha mabasi kama nyehunge, esther, super najumunisa, kisbo, isamilo, happy nation, abood, kidia na mengine mengi yanayofanya safari zake dar kwenda mikoa ya kanda ya ziwa
 
}wanasema hawajawahi kuliona scania gemilan 7
 
Back
Top Bottom