Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Ko mpaka ajali itokee wafe watu 50 akiwemo shangazi yako ndio Latra waingilie kqti?
Sio shangazi yake , maana naweza asijali kua huyo shangazi yake , nadhani wafe watto wake mke na yeye apate kilema cha maisha ambapo hatoweza tena pata mpenzi yoyote wa kmsitiri na kuanzisha familia upya ndio ataelewa maana ya usalama wa barabarani ni nini , bila hivyo atashabikia siku zote na kuona Serkali ni wajinga kwa kuanza na hili.
 
Hapo mlengwa ni huyu
IMG-20230530-WA0029.jpg
 
Me sjaelewa, wamefungiwa saa 9 maana yake nn
LATRA ilitoa utaratibu kwa mabasi kuomba ruhusa kuanza safari saa 9 alfajiri badala ya 11 asubuhi kama ilivyokuwa awali, hivyo hawa wamefungiwa kutokana na sababu kadha ikiwemo kutemper na mifumo ya kudhibiti mwendo
 
Sionagi logic ya haya mabasi kushindana kufika wa kwanza mbona ni kuhatarisha maisha ya abiria sababu yakukimbizana mbona kaskazini hakuna hizi ligi na mabus yanafika vizur kwa wakati.
 
Me sjaelewa, wamefungiwa saa 9 maana yake nn
Walikua wanatoka dar sa tisa usiku hiyo ni ruhusa ilitoka kwa LATRA na kampuni wenye uhitaji wa muda huo walienda kuomba kibali cha kuanza safari sa tisa usiku.

Kutokana na video kama izo zikionesha mabasi kuwahi kufika kituo fulani i ndio ikapelekea kufutiwa hiyo ratiba ya kuanza safari sa tisa usiku na badala yake kurudi ratiba za kawaida za kuanza sa kumi na mbili asubuh
 
Nilipanda hiyo Katarama, safari ilijaa kero hayo mambo (yanayofanyika kwenye video) ni kila mahali anapopita kuanzia Chalinze, Moro, na vimiji vyake vidogo mpaka mwisho wa safari!!

Kero zaidi! Nilikaa siti ya mbele, lina honi kama mawimbo mweee mweeee!! Kila kona akiona watu honi!! Hupumziki, huwezi hata kusinzia na hata kuongea na simu shida!! Wafungiwe tuu
 
Ally star ni mkonhwe wa hiyo njia toka kitambo yamekuja makampuni mengi sana yamepotea ila mwarabu kaendelea kubaki palepale.

Katarama ni kama Sauli tu mbele ya chuma ya mwekezaji Golden Deer.

La petrol kila siku linaipeleka puta katarama na ashukuru tu kwasababu chuma za Ally's ni lazima zitulie pale ofisini kwake shinyanga kupakia mizigo na abiria laa sivyo angekuwa anahesabu manyoya tu daily.
 
Back
Top Bottom