Mabasi ya Arusha, Moshi na Tanga kupita Madale?

Mabasi ya Arusha, Moshi na Tanga kupita Madale?

Sikweli barabara inayopendekezwa ni barabara inayotoka bunju b, kupanda mabwe pande kupitia ukingoni mwa mstu wa pande mapaka mpigi na onaenda kutokea mbezi mwisho. Pia baadhi ya daladala zitahamishwa root zitakua zikipitia goba kuna barabara upande wa juu inakuja kutokea mabwe mpaka bunju b, hii yote wameisha fanya maandaliz kwani hospitali ya rufaa kubwa inakaribia kukamilika maeneo ya mabwe pande hivo hiyo itawekwa kwa ajili ya tahadhali kwa wasafir n.k
 
Back
Top Bottom