Mabasi ya Kilimanjaro yafungiwa kutoa huduma

hao jamaaa jau sana walitakiwa wawafungie hadi krisimasi ijayo , kwanza kampuni gani imejaa magari namba AAA za kumwaga wakati wenzao hadi leo wana ndinga namba EE latest kabisa hadi za one by two na wengine one by one luxury full ac na viyoyozi ndani toilet kama kawa. piga kima hao.
 
Kuwa na magari mengi namba AA sio tatizo ishu.
Wana good customer service
Wanajali muda Na
Wanafika kwa wakati
Unaweza kukuta basi namba E ila njiani ni okota okota au mwendo wa Kobe
Asa Kuna faida gani apo ya basi kuwa namba A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…