Mabasi ya Kilimanjaro yafungiwa kutoa huduma

soon tutaendelea kutoa huduma ndugu wateja.
tunamalizia maelekezo tuliyopatiwa.

Heshima kwa Kampuni ya kilimanjaro.
, imedumu kwenye huduma ya usafirishaji zaidi ya miongo mitatu na bado inaendelea kufanya vizuri

hizi changamoto ni ndogo sana kwa kampuni ku manage.

issue ya magari kuwa namba A si issue maana unapolisema gari ni namba A lazima ujue ni aina gani pia lina hali gani?
sasa unakuta mtu ana namba E yutongo au zongtog ila Mwingine ana A ila scania. yan ni vitu viwili tofauti sana

Changamoto wanamudu wachache sana.
 
Mazingira ya rushwa yanatengenezwa hapo!
Sahihi ifike mahali tatizo la mfanyakazi liwe la mfanyakazi sio tajiri na tatizo la dereva liwe la dereva sio Mumiliki au mabasi yake

Latra wanatakiwa kufanya analysis hili tatizo la Mumiliki au wafanyakazi? Kama wafanyakazi wawashughulikie waachane na Tajiri na mabasi yake wao ndio walipe faini nk
 
The Doctrine of "vicarious liability"
 
Long break ndo kufilisika maana huwezi kuingiza bus 5 barabarani huna chini ya bil 1
Magali mawili ya kilimanjaro unanunua abood na tilisho 6,Kilimanjaro ni marcopolo hao wengine zingzong na yutong kiufupi ni mbingu na ardhi ,ndio maana kilimanjaro namba A inapiga kazi ,ukikuta yutong namba A ni maajabu
 
Kilimanjaro anatembelea jina na sio gari zake kuwa ni nzuri zile marcopolo zingetakiwa ziwe gari za long safari.....
 
soon tutaendelea kutoa huduma ndugu wateja.
tunamalizia maelekezo tuliyopatiwa.

Heshima kwa Kampuni ya kilimanjaro.
, imedumu kwenye huduma ya usafirishaji zaidi ya miongo mitatu na bado inaendelea kufanya vizuri

hizi changamoto ni ndogo sana kwa kampuni ku manage.

issue ya magari kuwa namba A si issue maana unapolisema gari ni namba A lazima ujue ni aina gani pia lina hali gani?
sasa unakuta mtu ana namba E yutongo au zongtog ila Mwingine ana A ila scania. yan ni vitu viwili tofauti sana

Changamoto wanamudu wachache sana.
Jipangeni mje upya. Muache kufanya biashara kimazoea
 
Back
Top Bottom