Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabasi yapo ya kutosha mkuu muda wote usiku na mchanaNaomba kujuzwa iwapo mabasi ya kutoka Dar kwenda Masasi yapo nyakati zote usiku na mchana.
Iwapo hayapo nyakati zote, naomba kujuzwa ratiba zake.
Asante sana.Mabasi yapo ya kutosha mkuu muda wote usiku na mchana
Baraka inatoka Dodoma asubuhi, jioni ipo Mbagala kuendelea safari ya Masasi.Naomba kujuzwa iwapo mabasi ya kutoka Dar kwenda Masasi yapo nyakati zote usiku na mchana.
Iwapo hayapo nyakati zote, naomba kujuzwa ratiba zake.
Sawa Afisa Masoko wa Baraka.Kuna Maning Nice ya Masasi Dodoma kuna gari za mpaka Saa nne Uck tena zingine zinaenda mpaka Tunduru.Ashindwe Yeye.Baraka inatoka Dodoma asubuhi, jioni ipo Mbagala kuendelea safari ya Masasi.
Baraka ina choo na bafu ndani, pia wanaruhusu abiria kulala ukipenda, Tv na vinywaji ni bure sio kama vibandaumiza, yapo kila siku.
Unataka kumpoteza, yeye anaenda Masasi wewe unataka umpeleke Tunduru! Acha hizo unataka umtoze nauli ya Tunduru wakati anaishia Masasi! Mungu hapendi.Sawa Afisa Masoko wa Baraka.Kuna Maning Nice ya Masasi Dodoma kuna gari za mpaka Saa nne Uck tena zingine zinaenda mpaka Tunduru.Ashindwe Yeye.
Hongera meneja Masoko wa Baraka.Unataka kumpoteza, yeye anaenda Masasi wewe unataka umpeleke Tunduru! Acha hizo unataka umtoze nauli ya Tunduru wakati anaishia Masasi! Mungu hapendi.
Manning Nice haina vikolombwezo nilivyovitaja, pia hawaruhusu abiria kulala.
Tashrif ya Tanga - Masasi ina vikolombwezo hivyo vyote.Unataka kumpoteza, yeye anaenda Masasi wewe unataka umpeleke Tunduru! Acha hizo unataka umtoze nauli ya Tunduru wakati anaishia Masasi! Mungu hapendi.
Manning Nice haina vikolombwezo nilivyovitaja, pia hawaruhusu abiria kulala.
Nauli ni 40k-45k japo Sina uhakika sana kwani sijasafiri karibuni hiyo route,bus za kupanda nakushauri panda maning nice,baraka classic,Buti la zungu au TokyoAsante sana.
Nauli ikoje Daraja la 1 na la kawaida?
NI mabasi yapi ili nikate tiketi kwa mtandao?
Yes maning nice haina kivutio zaidi ya Azam TVUnataka kumpoteza, yeye anaenda Masasi wewe unataka umpeleke Tunduru! Acha hizo unataka umtoze nauli ya Tunduru wakati anaishia Masasi! Mungu hapendi.
Manning Nice haina vikolombwezo nilivyovitaja, pia hawaruhusu abiria kulala.