Mabasi ya kutoka Dar hadi Masasi, nayo yapo kwa saa 24?

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Naomba kujuzwa iwapo mabasi ya kutoka Dar kwenda Masasi yapo nyakati zote usiku na mchana.

Iwapo hayapo nyakati zote, naomba kujuzwa ratiba zake.
 
Baraka inatoka Dodoma asubuhi, jioni ipo Mbagala kuendelea safari ya Masasi.
Baraka ina choo na bafu ndani, pia wanaruhusu abiria kulala ukipenda, Tv na vinywaji ni bure sio kama vibandaumiza, yapo kila siku.
 
Sawa Afisa Masoko wa Baraka.Kuna Maning Nice ya Masasi Dodoma kuna gari za mpaka Saa nne Uck tena zingine zinaenda mpaka Tunduru.Ashindwe Yeye.
 
Unataka kumpoteza, yeye anaenda Masasi wewe unataka umpeleke Tunduru! Acha hizo unataka umtoze nauli ya Tunduru wakati anaishia Masasi! Mungu hapendi.
Manning Nice haina vikolombwezo nilivyovitaja, pia hawaruhusu abiria kulala.
 
Hongera meneja Masoko wa Baraka.
 
Unataka kumpoteza, yeye anaenda Masasi wewe unataka umpeleke Tunduru! Acha hizo unataka umtoze nauli ya Tunduru wakati anaishia Masasi! Mungu hapendi.
Manning Nice haina vikolombwezo nilivyovitaja, pia hawaruhusu abiria kulala.
Tashrif ya Tanga - Masasi ina vikolombwezo hivyo vyote.
 
Asante sana.
Nauli ikoje Daraja la 1 na la kawaida?
NI mabasi yapi ili nikate tiketi kwa mtandao?
Nauli ni 40k-45k japo Sina uhakika sana kwani sijasafiri karibuni hiyo route,bus za kupanda nakushauri panda maning nice,baraka classic,Buti la zungu au Tokyo
 
Unataka kumpoteza, yeye anaenda Masasi wewe unataka umpeleke Tunduru! Acha hizo unataka umtoze nauli ya Tunduru wakati anaishia Masasi! Mungu hapendi.
Manning Nice haina vikolombwezo nilivyovitaja, pia hawaruhusu abiria kulala.
Yes maning nice haina kivutio zaidi ya Azam TV
 
Back
Top Bottom