Mama alizungumzia Tramer ambazo huq hazina speed ya kivile
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Hapa umechanganya mambo.
Umeandika points na uzushi.
Nadhani huna exposure kwenye nchi za ulaya na Amerika.
Ngoja nikupe ufahamu kidogo, maana nina exposure katika kuzitumia hizo treni/mabasi ya mjini ya umeme (tram)
Kwanza hizi tram zinakwenda mwendo wa kawaida au taratibu, kasi ya juu kabisa unaweza kukuta ni 30km/hour. Hazina tofauti yoyote na daladala katika kufanya kazi zake, tofauti ni kuwa zimetengenezewa miundo mbinu yake ya reli (kwenye ardhi) na nyaya (angani).
Wenzetu huko ulaya na marekani walibuni hizo vitu na kuziweka mjini ili kupunguza msongamano wa magari, kupunguza uchafuzi wa mazingira kutokana na hewa ya ukaa, kelele na gharama.
Tatizo kubwa katika hapa Tanzania ni hili..
1. Umeme usiokuwa na uhakika.
2. Miji isiyokubali kupangika.
3. Vurumai za shughuli za mijini.
Note:
Wakati Chuo cha UDOM kinajengwa kilitakiwa kuwa na miundo mbinu ya treni za kuweza kuzunguka kwenye campus zake zote, na michoro ilionyesha hivyo (na pesa huenda ilitolewa lakini wajanja wakapiga na wajinga tukaa kimya), hapo ndipo pangekuwa sehemu rahisi na bora ya kuanzia kuweka hii miundo mbinu ya tram.
Tulia kidogo aisee maana Mara mabasi ya umeme, Mara SGR Mara Tanesco wapo hopeless, kwani vipi jamaa yangu?Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile
Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani rubani kabla haijatengemaa na kukaa sawa mruko inabidi aweke gia ya kushusha chini hiyo route inafaa ndege ndogo tu
Mabasi ya umeme majiji yetu madogo yataharibika sababu mwendo wao sio wa kitoto hebu fikiria unapanda mwendo kasi ferry dar kituo kinachofuata ni posta ya zamani,dereva anaondoa basi kituo kinachofuata ni pale posta ya zamani mbele pale watu wanapanda meli kwenda zanzibar ukitoka pale aluwashe tena kituo kinachofuata kisutu!! Akiwasha tena mbio kituo kinachofuata zimamoto!!!
Hayo mabasi yanafaa route ndefu ni kama tu treni za uneme
Umeme wetu pia wa kudunduliza Tanesco hopeless kabisa Tanesco pekee wangeweza kuendesha bajeti yote ya serikali na bandari tu
Lakini hawajielewi kabisa hopeless.Nilisika hadi mkurugenzi wa TRC akisema watakuwa na umeme wao wa kuendesha SGR!! Hawatategemea TANESCO
Kwa Tanzania shirika namba moja kwa u hopeless ni Tanesco halina ushindani lakini bado performance almost zero
Mkuu, Ndege ZNZ to Dar Mboa Boing zetu ziku za nyuma zilikuwa zinaruka .... Hakuna cha ajabu hapo. Ni dakika 12 kwa uzoefu wangu.Wataalamu wa ndege kubwa njooni huku mjibu Dakika saba Boeing yaweza ruka straight Dar to Zanzibar bila kuzurura angani kuipa momentum kabla kutua?
Ok umeeleweka sio mabasi ya mwendo kasi hayo hizo ni train za mjini ambazo badala ya kutumia mafuta hutumia umemeIngawa nazo ni ndoto mama alikuwa anaongelea TRAMS
View attachment 2126095
Na sio hizo Supersonic Trains unazosiongelea wewe (kwahio ili twende sawa badilisha kidogo content yako sababu inaongelea wrong premises)
Unaonekana una exposure ndogo sana na hauna aibu kuongea pumba, umeshindwa hata kugoogle tu au kuuliza ukaambiwa.Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile
Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani rubani kabla haijatengemaa na kukaa sawa mruko inabidi aweke gia ya kushusha chini hiyo route inafaa ndege ndogo tu
Mabasi ya umeme majiji yetu madogo yataharibika sababu mwendo wao sio wa kitoto hebu fikiria unapanda mwendo kasi ferry dar kituo kinachofuata ni posta ya zamani,dereva anaondoa basi kituo kinachofuata ni pale posta ya zamani mbele pale watu wanapanda meli kwenda zanzibar ukitoka pale aluwashe tena kituo kinachofuata kisutu!! Akiwasha tena mbio kituo kinachofuata zimamoto!!!
Hayo mabasi yanafaa route ndefu ni kama tu treni za uneme
Umeme wetu pia wa kudunduliza Tanesco hopeless kabisa Tanesco pekee wangeweza kuendesha bajeti yote ya serikali na bandari tu
Lakini hawajielewi kabisa hopeless.Nilisika hadi mkurugenzi wa TRC akisema watakuwa na umeme wao wa kuendesha SGR!! Hawatategemea TANESCO
Kwa Tanzania shirika namba moja kwa u hopeless ni Tanesco halina ushindani lakini bado performance almost zero
Hakuna mabasi ya umeme wewe ziko train za umemeMkuu unayafahamu kweli mabasi ya umeme? Au umeandika bila kufanya research...
Mabasi ya umeme yana speed ya kawaida tu kama magari yanayotumia diesel haya tuliyoyazoea...
Na kawaida hata umeme ukikata huwa yanakuwa na extra stored charge ambayo huyafanya yatembee kwenda kupark karakana...
Electric Cars / Vehicles tends to be cheaper will lower maintanance..., tatizo initial cost ya miundombinu na adaptability huenda ikawa tatizo ni vigumu kuhamisha hilo vehicle kutoka hapa na kwenda kule ambapo hakuna njia zake....Ok umeeleweka sio mabasi ya mwendo kasi hayo hizo ni train za mjini ambazo badala ya kutumia mafuta hutumia umeme
Train za mjini Dar tunazo zinaitwa Train za mwakyembe sio mabasi ya mwakyembe
Correct definiton ziitwe train zinazotumia umeme kusafirisha abiria mjini zisizotumia mafuta
Issue je kipi rahisi usafiri mijini kutumia treni zinazotumia mafuta za Mwakyembe au treni zinazotumia umeme ? Wataalamu karibuni
umeme ni nishati kama ilivyo petroli kwahio hata basi / magari / pikipiki za umeme pia zinaweza kuwepo so long as zinatumia battery na sio mafuta / petrolHakuna mabasi ya umeme wewe ziko train za umeme
Hayo unaita mabasi ni Train Daladala zinazotumia umeme kubeba abiria mijini.Za kutumia mafuta tunazo Dar zinaitwa Train za Mwakyembe
Ni Train sio mabasi tusahihishane kwanza kuita mabasi ni WrongUnaonekana una exposure ndogo sana na hauna aibu kuongea pumba, umeshindwa hata kugoogle tu au kuuliza ukaambiwa.
Hayo mabasi ya umeme ni tram mbayo hayana speed yoyote nenda Oslo utayakuta na miji kibao tu Marekani na Ulaya.
Hayo sio speed train/ bullet train, uwage unauliza dah
Hakuna mabasi ya umeme wewe ziko train za umeme
Hayo unaita mabasi ni Train Daladala zinazotumia umeme kubeba abiria mijini.Za kutumia mafuta tunazo Dar zinaitwa Train za Mwakyembe
Wenzio walishaweka picha kitambo
Sina hakika kama kuna jambo hata moja unalojua technically kuhusu gari za umeme, maana unahusisha gari za umeme na umeme kukatika as if gari zinahitaji kuwa connected na live terminal ya Tanesco. Gari zinaendeshwa kwa betri ambazo zinachajiwa au kubadilishwa umeme ukipunguaMabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile
Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani rubani kabla haijatengemaa na kukaa sawa mruko inabidi aweke gia ya kushusha chini hiyo route inafaa ndege ndogo tu
Mabasi ya umeme majiji yetu madogo yataharibika sababu mwendo wao sio wa kitoto hebu fikiria unapanda mwendo kasi ferry dar kituo kinachofuata ni posta ya zamani,dereva anaondoa basi kituo kinachofuata ni pale posta ya zamani mbele pale watu wanapanda meli kwenda zanzibar ukitoka pale aluwashe tena kituo kinachofuata kisutu!! Akiwasha tena mbio kituo kinachofuata zimamoto!!!
Hayo mabasi yanafaa route ndefu ni kama tu treni za uneme
Umeme wetu pia wa kudunduliza Tanesco hopeless kabisa Tanesco pekee wangeweza kuendesha bajeti yote ya serikali na bandari tu
Lakini hawajielewi kabisa hopeless.Nilisika hadi mkurugenzi wa TRC akisema watakuwa na umeme wao wa kuendesha SGR!! Hawatategemea TANESCO
Kwa Tanzania shirika namba moja kwa u hopeless ni Tanesco halina ushindani lakini bado performance almost zero
Wenzio walishaweka picha kitambo
Nishati..., Kawaida mabasi yanatumia Petrol / Diesel inagawa pia yanaweza kutumia Gesi...Kwani mabasi ya umeme na mabasi ya kawaida yana tofauti gani?
Ok kwa hiyo kuweka mambo sawa gari zinazotumia umeme sio za mwendokasi kama tulizonazo sasa hivi za mafuta hivyo si sahihi kuwa zaweza kuwa mbadala wa mabasi ya mwendo kasi tuliyonayo kwa sasaSina hakika kama kuna jambo hata moja unalojua technically kuhusu gari za umeme, maana unahusisha gari za umeme na umeme kukatika as if gari zinahitaji kuwa connected na live terminal ya Tanesco. Gari zinaendeshwa kwa betri ambazo inachajiwa au kubadilishwa umeme ukipungua
Gari za umeme tayari zipo Nairobi na zinasafirisha abiria kituo hadi kituo. Kuenda kwa speed kubwa sio sifa ya gari za umeme, zinaenda taratibu kuliko gari ya mafuta. Advantage yake ni gharama ya uendeshaji na pollution prevention
Nafikiri kuna kitu unatakiwa kujifunza. Mimi nimewahi kutumia hayo mabasi ya umeme jijini London UK kwa jina maarufu "Trum". Ni aina ya mabasi kama mabasi ya "Ikarus" yaliyowahi kutumika jiji Dar es salaam miaka 80s na 90s! Ni mabasi yanayotumia njia kama za treni lkn yanatumia umeme na mwendo wake ni kama mabasi ya kawaida sio kwamba yanaspeed kubwa sana. Hivyo basi yanaweza kutumika katika miji yetu.Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile