Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu, majiji si makubwa na vituo vipo karibukaribu

Toeni siasa na muache science ichukue mkondo wake, kama kwenye majiji mengine duniani imewezekana, kwanini hapa kwetu ishindikane??
 
Kwa kumuongezea maarifa kuna trams (zina njia zake kama train) na kuna electric buses ni basi la kawaida kama haya maBRT yanakuwa na mkono wa umeme kwa juu umeungwa kwenye line ya umeme "trolleybuses" , haya yanakatiza kwenye barabara kawaida kama public cars tu...aina hii ya pili siku wamezimodernize wametoa hayo mamikono kwa juu, halafu gari inakuwa inaenda mahali inacharge then inapiga route, charge ikiisha linaenda tena charging station kucharge

Hapa umechanganya mambo.
Umeandika points na uzushi.
Nadhani huna exposure kwenye nchi za ulaya na Amerika.

Ngoja nikupe ufahamu kidogo, maana nina exposure katika kuzitumia hizo treni/mabasi ya mjini ya umeme (tram)

Kwanza hizi tram zinakwenda mwendo wa kawaida au taratibu, kasi ya juu kabisa unaweza kukuta ni 30km/hour. Hazina tofauti yoyote na daladala katika kufanya kazi zake, tofauti ni kuwa zimetengenezewa miundo mbinu yake ya reli (kwenye ardhi) na nyaya (angani).

Wenzetu huko ulaya na marekani walibuni hizo vitu na kuziweka mjini ili kupunguza msongamano wa magari, kupunguza uchafuzi wa mazingira kutokana na hewa ya ukaa, kelele na gharama.

Tatizo kubwa katika hapa Tanzania ni hili..
1. Umeme usiokuwa na uhakika.
2. Miji isiyokubali kupangika.
3. Vurumai za shughuli za mijini.

Note:
Wakati Chuo cha UDOM kinajengwa kilitakiwa kuwa na miundo mbinu ya treni za kuweza kuzunguka kwenye campus zake zote, na michoro ilionyesha hivyo (na pesa huenda ilitolewa lakini wajanja wakapiga na wajinga tukaa kimya), hapo ndipo pangekuwa sehemu rahisi na bora ya kuanzia kuweka hii miundo mbinu ya tram.
 
Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile

Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani rubani kabla haijatengemaa na kukaa sawa mruko inabidi aweke gia ya kushusha chini hiyo route inafaa ndege ndogo tu

Mabasi ya umeme majiji yetu madogo yataharibika sababu mwendo wao sio wa kitoto hebu fikiria unapanda mwendo kasi ferry dar kituo kinachofuata ni posta ya zamani,dereva anaondoa basi kituo kinachofuata ni pale posta ya zamani mbele pale watu wanapanda meli kwenda zanzibar ukitoka pale aluwashe tena kituo kinachofuata kisutu!! Akiwasha tena mbio kituo kinachofuata zimamoto!!!

Hayo mabasi yanafaa route ndefu ni kama tu treni za uneme

Umeme wetu pia wa kudunduliza Tanesco hopeless kabisa Tanesco pekee wangeweza kuendesha bajeti yote ya serikali na bandari tu

Lakini hawajielewi kabisa hopeless.Nilisika hadi mkurugenzi wa TRC akisema watakuwa na umeme wao wa kuendesha SGR!! Hawatategemea TANESCO

Kwa Tanzania shirika namba moja kwa u hopeless ni Tanesco halina ushindani lakini bado performance almost zero
Tulia kidogo aisee maana Mara mabasi ya umeme, Mara SGR Mara Tanesco wapo hopeless, kwani vipi jamaa yangu?
 
Wataalamu wa ndege kubwa njooni huku mjibu Dakika saba Boeing yaweza ruka straight Dar to Zanzibar bila kuzurura angani kuipa momentum kabla kutua?
Mkuu, Ndege ZNZ to Dar Mboa Boing zetu ziku za nyuma zilikuwa zinaruka .... Hakuna cha ajabu hapo. Ni dakika 12 kwa uzoefu wangu.
 
Ingawa nazo ni ndoto mama alikuwa anaongelea TRAMS
View attachment 2126095
Na sio hizo Supersonic Trains unazosiongelea wewe (kwahio ili twende sawa badilisha kidogo content yako sababu inaongelea wrong premises)
Ok umeeleweka sio mabasi ya mwendo kasi hayo hizo ni train za mjini ambazo badala ya kutumia mafuta hutumia umeme

Train za mjini Dar tunazo zinaitwa Train za mwakyembe sio mabasi ya mwakyembe

Correct definiton ziitwe train zinazotumia umeme kusafirisha abiria mjini zisizotumia mafuta

Issue je kipi rahisi usafiri mijini kutumia treni zinazotumia mafuta za Mwakyembe au treni zinazotumia umeme ? Wataalamu karibuni
 
Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile

Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani rubani kabla haijatengemaa na kukaa sawa mruko inabidi aweke gia ya kushusha chini hiyo route inafaa ndege ndogo tu

Mabasi ya umeme majiji yetu madogo yataharibika sababu mwendo wao sio wa kitoto hebu fikiria unapanda mwendo kasi ferry dar kituo kinachofuata ni posta ya zamani,dereva anaondoa basi kituo kinachofuata ni pale posta ya zamani mbele pale watu wanapanda meli kwenda zanzibar ukitoka pale aluwashe tena kituo kinachofuata kisutu!! Akiwasha tena mbio kituo kinachofuata zimamoto!!!

Hayo mabasi yanafaa route ndefu ni kama tu treni za uneme

Umeme wetu pia wa kudunduliza Tanesco hopeless kabisa Tanesco pekee wangeweza kuendesha bajeti yote ya serikali na bandari tu

Lakini hawajielewi kabisa hopeless.Nilisika hadi mkurugenzi wa TRC akisema watakuwa na umeme wao wa kuendesha SGR!! Hawatategemea TANESCO

Kwa Tanzania shirika namba moja kwa u hopeless ni Tanesco halina ushindani lakini bado performance almost zero
Unaonekana una exposure ndogo sana na hauna aibu kuongea pumba, umeshindwa hata kugoogle tu au kuuliza ukaambiwa.

Hayo mabasi ya umeme ni tram mbayo hayana speed yoyote nenda Oslo utayakuta na miji kibao tu Marekani na Ulaya.

Hayo sio speed train/ bullet train, uwage unauliza dah
 
Mkuu unayafahamu kweli mabasi ya umeme? Au umeandika bila kufanya research...

Mabasi ya umeme yana speed ya kawaida tu kama magari yanayotumia diesel haya tuliyoyazoea...

Na kawaida hata umeme ukikata huwa yanakuwa na extra stored charge ambayo huyafanya yatembee kwenda kupark karakana...
Hakuna mabasi ya umeme wewe ziko train za umeme

Hayo unaita mabasi ni Train Daladala zinazotumia umeme kubeba abiria mijini.Za kutumia mafuta tunazo Dar zinaitwa Train za Mwakyembe
 
Ok umeeleweka sio mabasi ya mwendo kasi hayo hizo ni train za mjini ambazo badala ya kutumia mafuta hutumia umeme

Train za mjini Dar tunazo zinaitwa Train za mwakyembe sio mabasi ya mwakyembe

Correct definiton ziitwe train zinazotumia umeme kusafirisha abiria mjini zisizotumia mafuta

Issue je kipi rahisi usafiri mijini kutumia treni zinazotumia mafuta za Mwakyembe au treni zinazotumia umeme ? Wataalamu karibuni
Electric Cars / Vehicles tends to be cheaper will lower maintanance..., tatizo initial cost ya miundombinu na adaptability huenda ikawa tatizo ni vigumu kuhamisha hilo vehicle kutoka hapa na kwenda kule ambapo hakuna njia zake....

Unless otherwise tubadilishe magari yetu badala ya kutumia mafuta yatumie battery (teknolojia bado na inahitaji battery bank kubwa na charging takes time) au tutumie Compressed Natural Gas ambayo tunayo ya kumwaga....
 
Hakuna mabasi ya umeme wewe ziko train za umeme

Hayo unaita mabasi ni Train Daladala zinazotumia umeme kubeba abiria mijini.Za kutumia mafuta tunazo Dar zinaitwa Train za Mwakyembe
umeme ni nishati kama ilivyo petroli kwahio hata basi / magari / pikipiki za umeme pia zinaweza kuwepo so long as zinatumia battery na sio mafuta / petrol
 
Unaonekana una exposure ndogo sana na hauna aibu kuongea pumba, umeshindwa hata kugoogle tu au kuuliza ukaambiwa.

Hayo mabasi ya umeme ni tram mbayo hayana speed yoyote nenda Oslo utayakuta na miji kibao tu Marekani na Ulaya.

Hayo sio speed train/ bullet train, uwage unauliza dah
Ni Train sio mabasi tusahihishane kwanza kuita mabasi ni Wrong

Copy kwa waandishi wa habari na vituo vya radio na Tv pamoja na wewe unajitia una exposure kuita Train bus? Train na basi vitu viwili tofaiti train inatumia reli bus halitumii reli
 
Hakuna mabasi ya umeme wewe ziko train za umeme

Hayo unaita mabasi ni Train Daladala zinazotumia umeme kubeba abiria mijini.Za kutumia mafuta tunazo Dar zinaitwa Train za Mwakyembe

Hahah naona bado unaonesha ulimbukeni, ngoja nikipata nafasi nikuwekee picha...

Huwa mara nyingi naandika kitu najua, especially kwenye mijadala kama hii...

Subiri hapo hapo nikuwekee picha
 
Wenzio walishaweka picha kitambo
 
Wenzio walishaweka picha kitambo

Hili hapa chini unaliona ni train???

Praha_E-bus-Skoda-26BB_Zelivskeho-Metro_14-12-21_Harak_1-1024a-656x337.jpg

Kwa kukusaidia pitia hii link hapa chini...

Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile

Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani rubani kabla haijatengemaa na kukaa sawa mruko inabidi aweke gia ya kushusha chini hiyo route inafaa ndege ndogo tu

Mabasi ya umeme majiji yetu madogo yataharibika sababu mwendo wao sio wa kitoto hebu fikiria unapanda mwendo kasi ferry dar kituo kinachofuata ni posta ya zamani,dereva anaondoa basi kituo kinachofuata ni pale posta ya zamani mbele pale watu wanapanda meli kwenda zanzibar ukitoka pale aluwashe tena kituo kinachofuata kisutu!! Akiwasha tena mbio kituo kinachofuata zimamoto!!!

Hayo mabasi yanafaa route ndefu ni kama tu treni za uneme

Umeme wetu pia wa kudunduliza Tanesco hopeless kabisa Tanesco pekee wangeweza kuendesha bajeti yote ya serikali na bandari tu

Lakini hawajielewi kabisa hopeless.Nilisika hadi mkurugenzi wa TRC akisema watakuwa na umeme wao wa kuendesha SGR!! Hawatategemea TANESCO

Kwa Tanzania shirika namba moja kwa u hopeless ni Tanesco halina ushindani lakini bado performance almost zero
Sina hakika kama kuna jambo hata moja unalojua technically kuhusu gari za umeme, maana unahusisha gari za umeme na umeme kukatika as if gari zinahitaji kuwa connected na live terminal ya Tanesco. Gari zinaendeshwa kwa betri ambazo zinachajiwa au kubadilishwa umeme ukipungua

Gari za umeme tayari zipo Nairobi na zinasafirisha abiria kituo hadi kituo. Kuenda kwa speed kubwa sio sifa ya gari za umeme, zinaenda taratibu kuliko gari ya mafuta. Advantage yake ni gharama ya uendeshaji na pollution prevention
 
Kwani mabasi ya umeme na mabasi ya kawaida yana tofauti gani?
Nishati..., Kawaida mabasi yanatumia Petrol / Diesel inagawa pia yanaweza kutumia Gesi...

Umeme ndio hivyo either direct connected kwenye power au kwa kutumia battery...
 
Sina hakika kama kuna jambo hata moja unalojua technically kuhusu gari za umeme, maana unahusisha gari za umeme na umeme kukatika as if gari zinahitaji kuwa connected na live terminal ya Tanesco. Gari zinaendeshwa kwa betri ambazo inachajiwa au kubadilishwa umeme ukipungua

Gari za umeme tayari zipo Nairobi na zinasafirisha abiria kituo hadi kituo. Kuenda kwa speed kubwa sio sifa ya gari za umeme, zinaenda taratibu kuliko gari ya mafuta. Advantage yake ni gharama ya uendeshaji na pollution prevention
Ok kwa hiyo kuweka mambo sawa gari zinazotumia umeme sio za mwendokasi kama tulizonazo sasa hivi za mafuta hivyo si sahihi kuwa zaweza kuwa mbadala wa mabasi ya mwendo kasi tuliyonayo kwa sasa
 
Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile

Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani rubani kabla haijatengemaa na kukaa sawa mruko inabidi aweke gia ya kushusha chini hiyo route inafaa ndege ndogo tu

Mabasi ya umeme majiji yetu madogo yataharibika sababu mwendo wao sio wa kitoto hebu fikiria unapanda mwendo kasi ferry dar kituo kinachofuata ni posta ya zamani,dereva anaondoa basi kituo kinachofuata ni pale posta ya zamani mbele pale watu wanapanda meli kwenda zanzibar ukitoka pale aluwashe tena kituo kinachofuata kisutu!! Akiwasha tena mbio kituo kinachofuata zimamoto!!!

Hayo mabasi yanafaa route ndefu ni kama tu treni za uneme

Umeme wetu pia wa kudunduliza Tanesco hopeless kabisa Tanesco pekee wangeweza kuendesha bajeti yote ya serikali na bandari tu

Lakini hawajielewi kabisa hopeless.Nilisika hadi mkurugenzi wa TRC akisema watakuwa na umeme wao wa kuendesha SGR!! Hawatategemea TANESCO

Kwa Tanzania shirika namba moja kwa u hopeless ni Tanesco halina ushindani lakini bado performance almost zero
Nafikiri kuna kitu unatakiwa kujifunza. Mimi nimewahi kutumia hayo mabasi ya umeme jijini London UK kwa jina maarufu "Trum". Ni aina ya mabasi kama mabasi ya "Ikarus" yaliyowahi kutumika jiji Dar es salaam miaka 80s na 90s! Ni mabasi yanayotumia njia kama za treni lkn yanatumia umeme na mwendo wake ni kama mabasi ya kawaida sio kwamba yanaspeed kubwa sana. Hivyo basi yanaweza kutumika katika miji yetu.
 
Back
Top Bottom